Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

Mkuu hiyo mikwara siku hizi tushaizoea kwa taarifa yako ni WAKUU WA SHULE TU ndio wapo shuleni
WE ARE TEACHING THE LESSON GUYS LIKE YOU
FOR THIS GENERATION OF TRANSPARENCY NO FEAR CAN BE EXPERIENCED BY INTELLECTUALS WE ARE READY FOR EVERY THING.
LIWALO NA LIWE


I will be more than happy to take your lesson/lecture if you (and your fellow teachers) can persevere till the end of this week!
 
Leo ndio tutajua walimu ni watu wa namna gani kufuatia mgomo huu maana wamekuwa wakitumika sana na serikali hasa kwenye uchaguzi na hata sensa itakayoanza hivi karibuni lakini maslahi yao hakuna ambaye amekuwa akiyashughulikia ipasavyo.
 
king'ongo sec-kimara walimu wamekusanyana hawajui cha kufanya,na wanafunzi wanacheza rede nje.
 
Tanzania,

Ikiwa siku za Bunge la Bajeti zinazidi kuyoyoma na mambo yasiyotarajiwa yanasikika Bungeni na jipya la Mgomo wa Waalimu kuanza leo.... ukiwa kama Mtanzania usiache kusikiliza Bunge ili uwe na Mtazamo na ujiulize Tanzania tunaposema neno "MZALENDO" tuna maana gani.

Sikiliza Arusha Mambo Internet Radio; LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com mara baada ya redio kufunguka; bonyeza hapa:

http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&

usiache kutupiatupia huku kwa faida ya wasio na audio driver kwa pc zao au speaker "nduhu"
 
tumeshawafahamu wasaliti,ole wao.ila nyie wasaliti mnachotakiwa kufahamu ni kwamba usisubiri mtu mwingine apiganie haki yako,itafute mwenyewe
 
Hata hapa nilipo mie ni mwl. Nsha goma kipindi nipo kwa mke wangu mitaa fulani fulani iringa huku vijijini. Walimu wa msingi huku waoga sana tena sana. Mie ni threat toka UDSM serikali inanifahamu msimamo wangu kama Gadafi.

Mkuu Inabidi uwafundishe wenzio wawe na msimamo kwenye mambo ya msingi kama haya
 
Hivi kwa nini huyu jamaa(dhaifu) asiondoke ikulu kwa hiari aepukane na aibu kubwa itakayomkuta siku si nyingi,manake nchi sasa ni vipande vipande mpaka inaudhi.
 
kazi imeanza upya wote tuendelea kuwa pamoja kuliko hata madaktari
ili kufanikisha mabadiliko
 
wanafunzi wakiwajoin nasi wazazi hatuna budi kuleta balaa.
Tuone nani atamtoa kucha mwenzie

na hapo ndipo litakapotimia lile neno ccm imeshindwa kwa kumezwa na maisha duni ya watanzania. I wapi maisha bora kwa kila mtanzania? iwapi ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya?
 
ZOCKA SASA ANAFIKIRI MBINU MPYA,ile ya utekaji amegairi,labda sasa ya ajari AU KUBAMBIKIA KESI, LAKINI MPAKA MGOMO UPOE WATU WAJISAHAU KWANZA ILI WASIHUSANISHE MATUKIO.
 
Mgomo wetu ni zaidi ya halali serikali imeonesha dharau ya hali ya juu dhidi ya walimu japo kutekeleza madai yetu japo moja
Hivyo walimu hatuna budi kushikamna na kuwaonesha who are TEACHERS
WENZETU KENYA WANALIPWA MARA TATU ZAIDI YETU NA WAMEGOMA WANATAKA WAONGEZEWE 300% NA KUNA MAKUBALIANO WAMEFIKIA .IWEJE SISI WALIMU WA KITANZANIA TUSIWEZE KUSIKILIZWA?
HAPA KAMA NOMA NA IWE l
LIWALO NA LIWE
Nnyie acheni kutuzuga. Kwanza mnajiandaa kufunga kama hamjafunga kabisa. Wakugoma watakuwa nyie? Kama mnaubavu gomeni wakati wa mitihani. na mbona kwenye sensa mmo igomeeni sensa. Chezea serikali nyie. Tulia sahihisha mitihani ya watoto wetu bila jazba. Wanafunzi wanajifunza nini toka kwenu kama mnawafundisha kugoma????
 
mbona mnagoma wakati mitihani imeshafanywa? Na soon shule zitafungwa? Usanii gani huu? mgomo gani huu hauna timing?
Umeonae hawa hamna kitu. The kiongozi wao anawachezea akili make anajustfy per diem. mgomo gani watu ako likizo????????????????????
 
Back
Top Bottom