Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

Aaah Mr. Mukoba almanusura angekuwa baba mkwe wangu. Ana mabinti Wazuri sana mzee wangu huyu. baba kaza buti hadi kieleweke. Ila angalia sana unakumbuka ule mgomo wa kwanza nyumbani kwako kulivyokuwa kunawindwa na TISS. Wasije waka ku ulimboka mzazi wangu wee...
 
sasa hivi mukoba yuko itv anazungumzia kuhusu mgomo wa walimu na anasema ni halali. Mwl. Atakayeenda kazini in msaliti kama wasaliti wengine waliowahi kutokea katka mapambano ya ukombozi


walimu tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele.........
 
haya mama ila cha msingi msiwapeleke wanafunzi wakubwa kuandamana maana watapigwa mawe na risasi waandamane wa chekechea


jamani hatujapeleka wanafunzi kuandamana ingawa leo cha ajabu kabisa wanafunzi wa primary wameandamana sijui what is it kwa kweli na kwanini walifanya hivyo.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom