Bila kumsahau NAPE pia. Hawa wawili ndio tegemeo la CCM kwa sasa. Mungu awabariki.Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Mukama ni strategist sana ana tumia akili nyingi na nguvu chache, tofauti na makatibu wakuu wengine wa vyama vya upinzani km slaa nguvu nyingi akili chache.
Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
katibu mkuu mpya wa chama tawala ccm ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, je? Hii ni hatua nzuri kwa chama cha mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Kwa jinsi unavyomkubali Dr. Slaa umeamua hadi kutumia picha yake... Action speaks louder than words, tumekuelewa kuwa hayo maneno ni porojo ila ukweli unao moyoni.
Ndugu yangu hajafanya uchambuzi wa kutosha.
Kashinda uchaguzi gani? Kwani hilo jimbo lilikuwa la chama gani, sio ccm? Ukilinganisha uchaguzi uliopita na wa sasa hivi ni uchaguzi gani ccm ilipata kura nyingi(asilimia kubwa). Ukilinganisha uchaguzi wa mwaka jana na huu wa juzi ni uchaguzi upi ccm imetumia rasilimali nyingi (watu, pesa , vifaa, vitisho, ulaghai, ghiliba n.k)? Ukijibu haya maswali pamoja na mingine kama haya basi ndio utajua kama kashinda uchaguzi au kashindwa.
Ndugu yangu hajafanya uchambuzi wa kutosha.
Kashinda uchaguzi gani? Kwani hilo jimbo lilikuwa la chama gani, sio ccm? Ukilinganisha uchaguzi uliopita na wa sasa hivi ni uchaguzi gani ccm ilipata kura nyingi(asilimia kubwa). Ukilinganisha uchaguzi wa mwaka jana na huu wa juzi ni uchaguzi upi ccm imetumia rasilimali nyingi (watu, pesa , vifaa, vitisho, ulaghai, ghiliba n.k)? Ukijibu haya maswali pamoja na mingine kama haya basi ndio utajua kama kashinda uchaguzi au kashindwa.
Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Chadema wamebomoa benki kwa uchaguzi wa igunga, kwenye akaunti zao hakuna kitu Tshs 1.345bn zimetumika na hawakupata kitu. Pesa hizi zingetosha kufungua matawi zaidi ya 300. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Nimegundua wewe ni sinker/stimker na wala siyo thinker .KIla mara unaleta ushabiki na hoja kujaza space bure wanao kujibu bora watumie muda wao kuangalia maswala ya maana.Maana unabisha tu sijui umerogwa au sijui kitu gani .CCM hawawezi kujivunia ushindi w Igunga na kwingineko.Ngojeaa kesi iende mahakamani uone moto .
Ni Mukama au Mkapa na Mangula wanasiasa wasio na makundi ndo waliookoa jahazi angeenda Jk na mukama pekee muone kama wanaigunga wasingewaCUF.
Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Katibu mkuu mpya wa chama tawala CCM ameanza kwa ushindi katika jimbo la igunga toka achaguliwe ndio uchaguzi wa kwanza kwa nafasi ya ubunge toka achaguliwe, Je? hii ni hatua nzuri kwa chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
chadema wamebomoa benki kwa uchaguzi wa igunga, kwenye akaunti zao hakuna kitu tshs 1.345bn zimetumika na hawakupata kitu. Pesa hizi zingetosha kufungua matawi zaidi ya 300. Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !