Mukama aanza kwa Ushindi CCM

Nadhani hii ni tovuti ya thinkers lakini humu ndani kuna vibonde ambao hata kufikiri hawawezi. Nimegundua Common Sense is not that much common kwa wengine. Wakati mwingine hata shule/masomo ya darasani hayamtoi mtu tongo tongo zake machoni na ukungu kichwani. Kwanza kampeni za igunga zilikuwa kati ya Chadema na CCM + whole government (mawaziri waliacha ofisi kwenda kutoa ahadi ya kusaini cheki kujenga daraja na barabara + Bakwata + wengine wengi tu. Hata kwa mambo yote hayowapiganaji wa magwanda wameweza kuoinyesha njia. Kuingia ktk jimbo na mtaji wa kura zero hadi kujizolea kura elfu 23. Kwa analysts wanaelewa data hili ila kwa tuliowazoea ndivyo sivyo wanafikiri wameshinda Igunga. Kiti cha ubunge Chama cha Magamba wanacho but politically they have vrecorded defeat. Kampeni ni vita vya akili hivi vinahitaji watu watumie akili sio kulala nje kuvizia kugawa elfu mbili wa kila kaya.
 
Kama lilikuwa la CCM kwa nini CHADEMA waliweka Mgombea na kutumia fedha nyingi ikiwamo kukodi Helkopta na kutumia nguvu ya viongoziu wake wakuu akiwamo Mwenyekiti Mbowena Katibu Mkuu Slaa?

wewe inaelekea unajua sana kiswahili.
 
Mmechanganyikiwa sana tangia jana , poleni sana yabidi tuwasamehe. Ndivyo mmekuja kujiliwaza na kutamka mahakamani ili wanachama wenu wasiwaone vibonde kwa kupigwa ngwara ? Dah igunga mlikuwa mnaitamani sana na mliwekeza sana ila wananchi ndio wameamua kwenye uchaguzi huru na wa haki
Ukiona mtz wa sasa anashabikia chama cha magamba ujue kama si mtoto wa magamba basi mwizi na kama si hivyo basi akili zake ni fyatu.
 
Mukama ni strategist sana ana tumia akili nyingi na nguvu chache, tofauti na makatibu wakuu wengine wa vyama vya upinzani km slaa nguvu nyingi akili chache.

Kutumia akili nyingi si hoja. Hata fisadi anatumia akili nyingi kufisadi. Mukama anatumia akili nyingi kudanganya kama mganga wa kienyeji anapotafuta fedha toka kwa mwenye shida. Alisema uongo eti CDM imeleta Igunga makomando toka nje ya nchi. Tofauti ya Mukama na Dr. Slaa ni hii: Mukama (whitch doctor) na Dr. Slaa (Doctor of Philosophy). Kujua hili haihitaji kutumia akili nyingi.
 
Believe me Mukama kama ndo mnamtegemea kuwabeba 2015 bora mumtumie maalim Seif, coz hata kunadi sera hajui
CCM wasitumia masaburi kufikiri wanakiri hali ya ccm mbaya kuelekea 2015,Igunga CCM ilionekana kama ndio chama cha upinzani kwa kulalamika kila siku,uzushi mwingi,tuhuma za uongo,wakati Jimbo lilikuwa lao,
Ina shangaza sana kuona CCM wanafurahia kwa mbwembwe kana kwamba jimbo lilikuwa la CDM.
Kajimbo kamoja tu jasho hadi kwenye masaburi yenu,mmepeleka hadi wastaafu wakulima(Mangula) na mabingwa wa tuchukua wake za watu.
Laana ya kufikiri kwa masaburi itawatesa daima
 
Haya! lakini habari ya magaidi basi angehakikisha anaimalizia otherwise Kinana katika ccm mie ndo namwona bado yani pekee bado smart
 
Back
Top Bottom