Nani kakwambia huduma ya Mungu inafanywa ki maskini?? hutambui anaposema amelaaniwa mtu aifanyaye kazi ya Mungu kilegevu?? utaenda kurekodia bila pesa?? hizo albamu zinatengenezwa bure na wale wahindi pale kariakoo? kama hujisikii kumsaidia mtu mawazo yenye kujenga haina maana kuchangia maana ndio ninyi mletao makwazo maana neno linasema makwazo hayana budi kuja ila ole wae yeye ayaletae kwa kuwa imempasa kumfungia jiwe la kusagia shingoni mwake akatoswe katika kilindi cha bahari, @fered labda kosa si lako, ni la kutaka kujiongezea idadi ya post.hufai to be the servant of GOD if ur there for money.