Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,874
6,291
habari wadau.

bliss.jpeg

baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa kuwatosa mademu zake wa zamani aliokuwa anaimba nao kanisani. sababu wanatoka familia zisizo na uwezo mzuri,

wanalalamika kwamba kuna mdada amedate na Moses Bliss miaka kibao toka enzi za shule ametoswa na Muimbaji huyo baada ya moses bliss kukutana na huyo dada instagram ambapo fasta fasta amemchumbia kabisa na anatarajia kumuoa siku za karibuni. wakidai sababu kuu ya kumchumbia huyo dada ni uwezo wa kiuchumi maana anatoka familia mambo safi, ana uraia wa uingereza, na ana elimu nzuri kutoka vyuo vikubwa majuu. hivyo yule aliokuwa nae toka utotoni amepigwa chini maana hana fursa za kiuchumi.

KIZAZI CHA SASA KAZI TUNAYO SIO WANAWAKE SIO WANAUME WOTE WANATAZAMA FURSA ZA KICHUMI KWANZA NDIO WANAFUNGA NDOA NA WEWE.


 
Sina neno ushauri wangu kwa msanii atumie mkongo ili adumu kwenye ma
 
Nimecheka.. hao wanawake waimba kwaya wenzake wana mvuto? Maana dada kwenye picha mrembo kweli na anaonekana simple woman
 
Back
Top Bottom