Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 287
Huku JF bhana watu wakishajua una shida wanakuongezea shida!
Niliweka thread humu ya kwamba nina degree ya Accounting and Finance hivyo natafuta ajira ili niweze kujikimu.
Ila sasa mtu anakuja PM anakuambia kuna ajira ila ajira yenyewe ukiitathmini ni kama inaenda kukuongezea shida tu, watu wa humu wakikuona huna muelekeo wanakufanya fursa, sio powa kwa kweli.