Muimbaji wa gospel!!!

ndelekio

Member
May 5, 2012
31
5
Natafuta mtu wa kunidhamini ili niweze kutoa albam yangu ya nyimbo za dini,nyimbo ni nzuri nina uhakika zitauzika kwani zina ujumbe mwema!BARIKIWA1
 
hufai to be the servant of GOD if ur there for money.
Nani kakwambia huduma ya Mungu inafanywa ki maskini?? hutambui anaposema amelaaniwa mtu aifanyaye kazi ya Mungu kilegevu?? utaenda kurekodia bila pesa?? hizo albamu zinatengenezwa bure na wale wahindi pale kariakoo? kama hujisikii kumsaidia mtu mawazo yenye kujenga haina maana kuchangia maana ndio ninyi mletao makwazo maana neno linasema makwazo hayana budi kuja ila ole wae yeye ayaletae kwa kuwa imempasa kumfungia jiwe la kusagia shingoni mwake akatoswe katika kilindi cha bahari, @fered labda kosa si lako, ni la kutaka kujiongezea idadi ya post.
@ Mtumishi wa Bwana Ndelekio, Charity begins at home, anza na kanisa unalosali, kwa mpango mzuri tu na nia nzuri wakisikia hata nyimbo moja mbili fund raising itakamilika tu na tutakusikia studio....Be blessed
 
Umeshafanya feasibility study kujua itagharimu kiasi gani kufanya hiyo recording? Na je unajua ni kiasi gani unaweza kupata kutokana na hiyo kazi yako? Na je unasemaje iwapo mtu akiamua kukudhamini kwa mkataba kwa maana ya kwamba mgawane mauzo? Kwamba huyo anayegharimia recording imulipe na wewe ikulipe!
 
Thanx Mangi kwa kumwelewesha Fred coz hakunielewa,nimepata ushauri wako nitaufanyia kazi,BE BLESSED!
 
Hivi Ndelekio kweli wewe mchaga? Kama mchaga wa wapi? Je hiyo tabia umeipata wapi? Nani kakwambia Mungu anachukia pesa? Unajua unachosema Meku? Yethu, unataka waimbaji wa injili wale mafi yao? Hivi kuna maisha bila pesa babaangu? Je ungekuwa wewe ungefanyaje? Hivi bila pesa kweli itawezekana kwenda Moshie kwenye krisimas na ubarikio baaangu? Je kabati ya mbeo na picha atainunua kwa nini? We Ndelekio Yethu umerogwa au hujaenda kutimiza mila eeeh? Ndelekio okoka kwenye dini inayothamini pesa badala ya huo umaskini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom