baina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 219
- 59
Tanesco walivyo wakorofi wamekata umeme ghafla pc yangu ikiwa on, na baada ya umeme kurudi nimewasha pc yangu ikawaka lakini hai-display kitu chochote. Sina ujanja zaidi ya kuisubiri jf itoe tamko na rekebisho. Zaidi ya hapo ofisi nafunga na home no msosi. Saidia jamani.