Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

Kivp?

Ngoja nikuulize swali,

wewe unaweza ishi na mwanamke yaani Mnalala kitanda kimoja kila siku?
kutiana wanawake wapo tu hata ukitoka hapo nje unakutana nao
watoto ni matokeo ya kutiana
kufarijiana ninao washkaj ndugu bmkubwa pia yupo so sina shida hapo
kuish ukimaanisha kila siku yupo tu ndan au anakuja na kusepa...?!
 
FAMILIA SIO NDOA
FAMILIA SIO NDOA
FAMILIA SIO NDOA

Ndoa ni muunganiko wa hiari kati ya mtu me na mtu ke walio amua kuish pamoja kama mke na mume

familia n muunganiko/kikundi cha watu wanao kaa/ishi pamoja inaweza kua Baba Mama na Watoto au baba na watoto au mama na watoto au mke na mume au nk
anyway

KATAA NDOA
KIJANA USIOE
SAVE KIBUNDA
NDOA HAINA HUO UMUHIMU UNAO CHORWA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
Familia yako itaundwa na kikundi cha tmk Mkuu.

Maana inavyoelekea umekremisha hapo kwenye kikundi

Utapataje kikundi bila kumzalisha mwanamke aka kupanga hiko kikundi.

Hii thread ni yako, inakubidi uisome vizuri uielewe ili ukiwa mkubwa(ukifika umri wa kuoa) ufanye maamuzi sahihi
 
Sina haja hiyo kwa sababu nimekamilika kiasi kwamba naweza kuishi msituni miaka 100.

Nina watoto.
Ninauwezo wa kumpata mwanamke yoyote kwa wakati wowote.

NDOA YA NINI KAMA KUNA USALITI
NDOA YA NINI KAMA KUNA KUCHEPUKA
NDOA YA NINI KAMA KUNA KUUANA.
NDOA YA NINI KAMA KUNA KUDHALILISHANA.

NDOA HALISI NA AMBAYO NINGEWEZA KUIINGIA KWAYO NI NDOA ZA WAZEE WETU.
NDOA ZILIZOJAA UPENDO,KUHESHIMIANA,KULINDANA,UADILIFU NA MENGINE MENGI.
Ukikua utaacha
 
Wanaume kataa ndoa ni wale wanaokimbia majukumu. Mru anatamba eto ronaldo kataa ndoa wakati mwenzao ana mchumba na watoto kibao wanalea pamoja.
 
KATAA NDOA NI KAMPENI INAYOENDESHWA KWA UHURU
SI NA WANAUME TU BALI HATA WANAWAKE.

MADHUMUNI MAKUBWA NI KUPINGA UTAPELI UNAOFANYIKA KWA KIGEZO CHA MKATABA WA NDOA.

UKIPINGA PINGA KWA hoja

Kwenye utawala au mamlaka pesa hutafutwa. Lakini uaminifu, upendo, haki uadilifu, umoja, kujitoa ndio misingi ya Utawala ikiwemo familia.

Mwanaume kiasili ni mtawala.
Sasa fikiria ati Rais hataki utawala kisa kuna Waasi, wapindua nchi, magaidi n.k.

Hivyo ni vitu vya kawaida katika kuongoza na kutawala jambo lolote
 
kutiana wanawake wapo tu hata ukitoka hapo nje unakutana nao
watoto ni matokeo ya kutiana
kufarijiana ninao washkaj ndugu bmkubwa pia yupo so sina shida hapo
kuish ukimaanisha kila siku yupo tu ndan au anakuja na kusepa...?!

Hivi unadhani mtoto aliyelelewa na baba na mama ni sawa na mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja?

Inaelekea wewe umekuzwa na singo Maza ndiyo sababu unaona na wanao kuishi bila wewe nia sawa.
 
Hakuna kitu kama icho ndugu yani bila cheti cha ndoa hawawezi kua mke na mume bali watakua ni mahawala walio ishi kwa muda mrefu

Kwani utaratibu wa cheti umeanza lini?

Inamaana babu zetu walioweza endelea hii generation walikuwa hawajui walifanyalo?
 
Ukiacha hisia zako binafsi kwa mujibu wa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibari inasema ndoa ni Nini?
Si ndio hapo Sheria ya Ndoa ya Tanzania inaruhusu mwanamke hata wa miaka 15 aolewe ila Kwa IDHINI ya wazazi au walezi wake.
Nimenukuu kipengele hicho cha Sheria hapo chini

"17. Requirement of consent​

(1)A female who has not attained the apparent age of eighteen years shall be required, before marrying, to obtain the consent—
(a)of her father;
(b)if her father is dead, of her mother; or
(c)if both her father and mother are dead, of the person who is her guardian."

Na sio kama mtoa posti anavyoeleza eti numemnukuu

"haihitaji ruhusa ya Wazazi, sijui taasisi ya dini gani huko, sijui serikali. Yaani serikali inaweza isiwepo lakini ndoa ikawepo, wazazi wanaweza wasiwepo lakini ndoa ikawepo, taasisi za dini zinaweza zisiwepo lakini Ndoa ikawepo. Hiyo tosha inatakiwa ikuonyeshe kuwa Maamuzi na makubaliano ya wawili(me na ke) ndio independent Factor. Hizo zingine ni dependent Factors."
Onyo usijaribu kuoa mwanamke wa miaka 15 - 18 Bila idhini ya wazazi au walezi wake ,
 
Kwani utaratibu wa cheti umeanza lini?

Inamaana babu zetu walioweza endelea hii generation walikuwa hawajui walifanyalo?
Bila cheti hauwezi kua mke na mume kisheria labda muitane tu ila siku ikifika ya kuthibitisha kama nyie ni mke na mume na hamna cheti ndio utaelewa ninacho kwambia.
 
Si ndio hapo Sheria ya Ndoa ya Tanzania inaruhusu mwanamke hata wa miaka 15 aolewe ila Kwa IDHINI ya wazazi au walezi wake.
Nimenukuu kipengele hicho cha Sheria hapo chini

"17. Requirement of consent​

(1)A female who has not attained the apparent age of eighteen years shall be required, before marrying, to obtain the consent—
(a)of her father;
(b)if her father is dead, of her mother; or
(c)if both her father and mother are dead, of the person who is her guardian."

Na sio kama mtoa posti anavyoeleza eti numemnukuu

"haihitaji ruhusa ya Wazazi, sijui taasisi ya dini gani huko, sijui serikali. Yaani serikali inaweza isiwepo lakini ndoa ikawepo, wazazi wanaweza wasiwepo lakini ndoa ikawepo, taasisi za dini zinaweza zisiwepo lakini Ndoa ikawepo. Hiyo tosha inatakiwa ikuonyeshe kuwa Maamuzi na makubaliano ya wawili(me na ke) ndio independent Factor. Hizo zingine ni dependent Factors."
Onyo usijaribu kuoa mwanamke wa miaka 15 - 18 Bila idhini ya wazazi au walezi wake ,

Unazungumzia watoto wa miaka 15
Hapa anazungumziwa Mwanamke na mwanaume aliyekamilika
 
Wapo sana maana wamekataa kuhalalishwa na jamii. Na kanisa au msikiti , .... na serikali pia . Ukiwa na ndoa unadhaminika hata kukitokea mgogoro unasaidika kwa haraka
 
Back
Top Bottom