Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,091
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa wanawake wenye mindset ya miss independent kujitegemea wenyewe.
Huko ustawi wa jamii nilienda kabla mtoto hajafika miaka saba nikaambiwa nisubiri afike 7, akiwa na iaka miwili nikaja kuoa mwanamke mwengine ambae ni mke wangu wa sasa, aliniambia hawezi kuishi na mtoto wa nje, nami nilijiongeza nisifosi maana nishaona watoto wengi wanavyoteswa na mama wa kambo ikabidi yule mtoto nimuache huko huko.
Mwaka huo huo niliooa mama yake alipata kazi mkoa tofauti wa mbali, mimi nilikuwa nadhani mtoto analelewa vizuri lakini baada ya uchunguzi nafikiria kubadilisha maamuzi nichukue mtoto wangu , sababu ni hizi:
Mtoto kila siku anakula chipsi mayai mchana, akitoka shuleni mchana huwa kuna sehemu anaenda anapikiwa chipsi mayai, mama yake kaweka bili za kila wiki.
bado analala na mama yake
Mtoto anaonewa sana shuleni mama yake anamwambia eti usipigane, mtoto wangu shuleni ndie wale "wakujipigia", kabadilisha shule tatu hadi sasa, mama yake ananificha ficha lakini najua sababu ni uonezi.
Hapa nifenyeje, nifosi nimlete nyumbani kwa mke asietaka kulea mtoto wa nje au nimuache huko huko ?
watoto hawana bibi wala babu