Mtoto wangu anataka kuniibia nimeona Dalili

Huyu anataka kuniletea ujanja wa Dada yake ambaye alikua akinieleza hela ya Supp kila semister nikawa nalipia supplimentary nne hadi tano najiuliza inakuaje supp kila semister kumbe naibiwa sasa mwisho wao umefika wananiona mimi zuzu hawa
Duuuu,wamekuzudi ujanja.
Na dogo Ana account huku jf hivyo anapata mbinu mpya za kukufaidi, duuuuu
 
Wakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?

Kakudanganya, ila kama unayo hiyo pesa we mpe tu na umwambie ukweli kuwa unajua amekudanya.
 
Dogo kafaulu vizuri Mimi Wala nisingehoji hiyo Hela acha akajipongeze B,B,C siyo kitu kodogo Kwa PCM ingawa sukuhizi zimekua nyepesi kidogo
 
Wakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?
Unapigwa,kwanza kubadilisha ni mpaka aripot shule na kama hiyo anayoitaka ipo vinginevyo ahame shule
 
Wakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?
Mpeleke shule za private akasome hiyo PCM au PCB
 
Km ningelikua mim ningejaribu kubagen nae yaani kwa vile yey anataka 150k ningemwambia tu "nina 90k tu na sidhan km itawezekana jamaa kukubali km vp nenda nayo kawatest km watakubal"
Baada ya hapo ningemuangalia km ataichukua kwel au atakaza.
 
Back
Top Bottom