Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva nasib abdul maarufu km dimond alipokuja kufanya show kwene hotel iitwayo snow view inayomilikiwa na kigogo wa serikali alijiburudisha na mwanadada mmoja ambae sasa ni mjamzito na anadai kuwa ni wa dimond... mm pia nimemwona na nimjamzito kweli ila swali nililonalo ni kwamba huo ni mzigo wa dimond kweli. Anasema yeye hana shida na dimond ila anataka kumjilisha kuhusu kiumbe alichonacho. Anaomba mwenye namba ya dimond amsaidie ili aweze kufikisha ujumbe wake.