Mtoto wa Dimond

Down

Member
Apr 13, 2012
7
1
Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva nasib abdul maarufu km dimond alipokuja kufanya show kwene hotel iitwayo snow view inayomilikiwa na kigogo wa serikali alijiburudisha na mwanadada mmoja ambae sasa ni mjamzito na anadai kuwa ni wa dimond... mm pia nimemwona na nimjamzito kweli ila swali nililonalo ni kwamba huo ni mzigo wa dimond kweli. Anasema yeye hana shida na dimond ila anataka kumjilisha kuhusu kiumbe alichonacho. Anaomba mwenye namba ya dimond amsaidie ili aweze kufikisha ujumbe wake.
 
Huyu jamaa huu ujasiri kautoa wapi.
Kaloweka mbichi
Otis
 
Kweli kali vidume vyote vinavyomsaga yy mimba kamwekea Diamond akichomoa? Hajalala nae?
 
mtafute feisi buku mkuu,

au ni wewe unataka mgawane makali
ya maisha ya ar na dogo wa mbagala eti eeh.

Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva nasib abdul maarufu km dimond alipokuja kufanya show kwene hotel iitwayo snow view inayomilikiwa na kigogo wa serikali alijiburudisha na mwanadada mmoja ambae sasa ni mjamzito na anadai kuwa ni wa dimond... mm pia nimemwona na nimjamzito kweli ila swali nililonalo ni kwamba huo ni mzigo wa dimond kweli. Anasema yeye hana shida na dimond ila anataka kumjilisha kuhusu kiumbe alichonacho. Anaomba mwenye namba ya dimond amsaidie ili aweze kufikisha ujumbe wake.
 
acha awepo hata kama wa kusingiziwa kuliko
dogo alivyoondoka mtupu bila kuacha kitu.
 
Mm pia nakua na wacwac! Ila anavolia utamwonea huruma

Kinachomliza ni nini akati alitegesha mwenyewe tena kafanya bila mpila alitegemea nini kama si kupata toto tena lenye sula mbofumbofu,analia na iyo mimba je ukimwi ashafikiria?wanawake wengne bana dah!
 
Wewe unaishi Arusha! Halafu tukio ulilosikia ni kutoka Boma N'gombe! Wacha umbea!
Join Date : 14th April 2012
Posts : 6
Rep Power : 302 Likes Received: 1
Likes Given: 0
 
One night stand ..no protection ?kweli kizazi kinateketea
Tanzania bila ukimwi............................
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom