Mtoto wa Dimond

alafu Dimond ndio nani isije ikawa tunamfikiria mtu kumbe si yeye na huyo Dimond wa Arusha ni msanii wa muziki gani maana sijawahi sikia m/muziki anaitwa Dimond
 
Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva nasib abdul maarufu km dimond alipokuja kufanya show kwene hotel iitwayo snow view inayomilikiwa na kigogo wa serikali alijiburudisha na mwanadada mmoja ambae sasa ni mjamzito na anadai kuwa ni wa dimond... mm pia nimemwona na nimjamzito kweli ila swali nililonalo ni kwamba huo ni mzigo wa dimond kweli. Anasema yeye hana shida na dimond ila anataka kumjilisha kuhusu kiumbe alichonacho. Anaomba mwenye namba ya dimond amsaidie ili aweze kufikisha ujumbe wake.

Sina uhakika kama Wilaya ya Hai ipo Mkoa wa Arusha!
 
haya mambo bwana watu wanapata tabu kupata ujauzito wakiwa na waume zao lakini wanapotembea na watu maarufu tu wanashika dah wasichan wakati mwingine tunatia aibu unakutana na mtu hata bila kinga na waka contact nae unazijua na ndo umekutana nae inawezekana baada ta show ndo aliofa kumpa diamond that gift then amsukumie mtoto hii balaa ila na mashaka kwamba hata huo ujauzito ni wa jamaa mana kwa tabia hiyo am sure huyo dada anagawa kwa wengi sana.
 
Hizo ni fixi za ndoto zake tu huyo binti na hii huwatokea mastaa wengi tu duniani.

Munakumbuka nyimbo ya Billie Jean ya Michael Jackson? Inasemekana ile ilikuwa ni stori ya kweli kulikuwa na kasichana kalijibandikisha mimba halafu kakasema ni MJ.
 
Baridi ya Machame imejibu, halafu hiyo hotel ni ya kigogo wa serikali?
 
Mbona kama vile watu mmeipokea kwa kuiamini hiyo habari kirahisi hivyo? Hamuoni kuwa kuna uwezekano ikawa ni uzushi?
 
Makubwa haya, Hana hata namba ake, loo. Huyo mtoto atakataliwa tu.
 
Iwe kweli ni mimba yake au si yake........lakini
PEKUPEKU NI HATARI NDUGU ZANGU
Imeandikwa
TUMIA KONDOM KWA USAHIHI KWA KILA TENDO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom