Hmaster
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 346
- 86
Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana na wazazi wake hadi ukubwani. Kama ujuavyo, binti mwenye maadili hakawii kupata mchumba; akachumbiwa na hatimaye akaolewa.
Siku tatu tu baada ya kuolewa binti akarudi nyumbani akiwa na hasira huku analia. Alipoulizwa kulikoni akawajibu wazazi wake kwamba mtu aliyemuoa ana tabia mbaya sana na hakutegemea. Walipomuhoji ni tabia gani hiyo, akawajibu kwamba jamaa anataka wafanye matusi wakati kimaadili haikubaliki. Wazee wakaanza upya kabisa kumpa somo.:becky::becky: