Mtoto Umleavyo ndivyo akuavyo!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana na wazazi wake hadi ukubwani. Kama ujuavyo, binti mwenye maadili hakawii kupata mchumba; akachumbiwa na hatimaye akaolewa.
Siku tatu tu baada ya kuolewa binti akarudi nyumbani akiwa na hasira huku analia. Alipoulizwa kulikoni akawajibu wazazi wake kwamba mtu aliyemuoa ana tabia mbaya sana na hakutegemea. Walipomuhoji ni tabia gani hiyo, akawajibu kwamba jamaa anataka wafanye matusi wakati kimaadili haikubaliki. Wazee wakaanza upya kabisa kumpa somo.:becky::becky:
 
Hiyo itakuwa ni nch ya ital katika kisiwa cha cicil watu hawana dhambi na wanaish more than 150yrs
 
Hiyo itakuwa ni nch ya ital katika kisiwa cha cicil watu hawana dhambi na wanaish more than 150yrs
sio kweli.kama watu katika kisiwa hiki hawapeani kama huyu alivyomnyima
mwenzake wakidhani wanakwepa dhambi ndipo wanapotendea dhambi.
 
Jamani!!!!!! Hivi Mafia mob asili yao sio cicil kweli? au nina wrong information?
 
Huyo binti cio wa kuolewa, Hajui hata haki zake za msingi hapa duniani!!!!!!!!!! wazazi hawawez kumfundisha kuh swala hilo watu wang, kwan mbuz, paka, mbwa wamejuaje?????!!!!!!!!!!!!!!!
 
Atakuwa ni mgumu wa kuelewa kama si hivyo alikuwa ana zuga alikubalije kuolewa?
asume jamaa akipewa mchezo akakuta open hall cndo itakuwa balaa
 
Fanya fasta vibali vya uraia wa huko vimebaki vichache na mafisadi wana viwania, ISLAND OF LOVE
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom