Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

Walipiga kura kukataa pendekezo la rais wasiyemtambua.

Kama humtambui rais huwezi kupigia kura pendekezo lake, kitendo cha kushiriki katika kupiga kura maana yake chguo ni halali, kama chaguo ni halali maana yake aliyeleta chaguo ana credentials zote zinazotakiwa.

Ningepeleka mie jina la mshkaji wangu wangepiga kura?
 
Alah! Kwa hiyo unajua jibu lake. Liweke hapa basi.

Sijawaelewa CHADEMA mpaka sasa hivi.

Walivyokubali kushiriki katika kura za kuhakiki chaguo la Kikwete, ni kwamba walikubali kwa sababu walikuwa bado hawajaamua kutomtambua Kikwete kama rais au vipi?

Na kama walikuwa hawajaamua bado kilichobadilika na kuwapa consensus hii ni nini? Maana uchaguzi ulishaisha na walipata muda wa kupitia matokeo na matukio, habari za kuchakachua zilikwishajulikana etc.

Au wabunge walikuwa wamekubali, lakini Slaa alikuwa hajakubali? Baadaye wote wakakubaliana? Kama ni hivyo kwa nini kuna mgawanyiko huu? Huu msimamo ni msimamo wa chama kizima kweli au ni wa mtu mmoja anawashinikiza wenzake?
 
Waziri mkuu ameteuliwa na JK. Kwanini basi wasingejitoa? Kukaa ndani na kushiriki katika upigaji kura hata kama kura yenyewe ni ya hapana tayari walishakubali process.
Muombe Mungu akufungue ili upate ufahamu wa mambo, hii ya Chadema ndio demokrasia na hapa wametuonyesha kweli wana nia dhabiti na ukombozi wa taifa hili. Watu hawakuona umuhimu wa Chadema kutomtambua JK, lakini kwa hili la jana tayari umuhimu wake umeshaanza kuonekana na utaendelea. Kwa nini watu wanasema Chadema hawana nidhamuu? ni kwa sababu wameguswa na kile kitendo. Chadema ni chama makini, ngoja tusubili kuna mengi yanakuja.
 
Hoja za kitoto kwa sababu nahoji sincerity na consistency ya CHADEMA ?

Kukurumuka mambo ya Kalemie au wapi hayo?

Kwa uelewa wako mdogo, unafikiri ninapoongelea habari ya CHADEMA kushiriki uhakiki wa Waziri Mkuu, naongelea habari ya Pinda. No wonder unameza vitu vizima vizima bila kumung'unya.

Kwa kushiriki uhakiki wa Pinda, chaguo la Kikwete, wabunge wa CHADEMA wamemtambua Kikwete kama rais tayari, sasa sijui hizi habari za kutomtambua Kikwete zinaanzia wapi wakati walishamtambua mpaka kupigia kura chaguo lake la Waziri Mkuu.

CHADEMA hawana consistency wala maturity ya kuchukuliwa seriously, nililisema kabla na sasa wanadhihirisha hili.

Kwanza unapatatwa na hasira haraka sana dogo Kiranga. Hapa ni hoja hasira na dharau hazijengi. So would you please calm down?

La pili wewe unasema CHADEMA wameshamtambua Kikwete kuwa rais, CHADEMA wao wamesema hawamtambui; sasa wewe endelea kuamini unavyoamini na CHADEMA waendelee kuamini wanavyoamini, hiyo ndio demokrasia kaka.
 
Kama humtambui rais huwezi kupigia kura pendekezo lake, kitendo cha kushiriki katika kupiga kura maana yake chguo ni halali, kama chaguo ni halali maana yake aliyeleta chaguo ana credentials zote zinazotakiwa.

Ningepeleka mie jina la mshkaji wangu wangepiga kura?

Huan hoja, mpuuzeni huyu
 
Waziri mkuu ameteuliwa na JK. Kwanini basi wasingejitoa? Kukaa ndani na kushiriki katika upigaji kura hata kama kura yenyewe ni ya hapana tayari walishakubali process.

Huo pia ni ushauri ila CHADEMA hawajachukua hiyo path, and its ok, in my book.
 
walimkata kwa kura zote za chadema 46

Kura zilikuwa za siri kwa hiyo hatujui hilo, hatuwezi kujua.

Na pili, swala si walipiga kura ya ndiyo au siyo. Swala ni kwamba ukipiga kura tu, maana yake umekubali kwamba Kikwete aliyemleta Pinda ni rais halali.

Sasa washamkubali Kikwete kama rais halali kwa kupigia kura chaguo lake Pinda, halafu wanasema hawamtambui kama rais, ina confuse.
 
Sijawaelewa CHADEMA mpaka sasa hivi.

Walivyokubali kushiriki katika kura za kuhakiki chaguo la Kikwete, ni kwamba walikubali kwa sababu walikuwa bado hawajaamua kutomtambua Kikwete kama rais au vipi?

Na kama walikuwa hawajaamua bado kilichobadilika na kuwapa consensus hii ni nini? Maana uchaguzi ulishaisha na walipata muda wa kupitia matokeo na matukio, habari za kuchakachua zilikwishajulikana etc.

Au wabunge walikuwa wamekubali, lakini Slaa alikuwa hajakubali? Baadaye wote wakakubaliana? Kama ni hivyo kwa nini kuna mgawanyiko huu? Huu msimamo ni msimamo wa chama kizima kweli au ni wa mtu mmoja anawashinikiza wenzake?
Mgawanyiko nani ka upeleka Chadema? Najua CCM mnatumia kila njama ili kuingiza mganyiko Chadema na hasa katika uongozi wa chama ngazi ya kitaifa, lakini itakuwa ngumu sana maana tunaviongozi makini wanaotambua nini wakifanyacho kwa wakati gani na kwa manufaa ya nani.

Hongera Chadema, maana katiba inawanyonga lakini kamwe wananchi ndio mahakama ya kweli katika kutenda HAKI. JK ni raisi wa muunganao wa NEC na CCM
 
Walivyopiga kura kumhakiki Pinda, pendekezo la Kikwete, walikuwa wanahakiki pendekezo la nani ?

Chadema hawana shida na kikwete, shida iliyopo ni utaratibu mzima uliotumika kumtawaza kama rais wa JMT period! na ndicho Chadema wanachopigania, lengo ni kutaka kushinikiza mabadiliko ya kikatiba kwa katiba ambayo imezeeka na haiendani na mabadiliko ya sasa duniani kote na kwa walilofanya jana msg imekua delivered..
 
Kwanza unapatatwa na hasira haraka sana dogo Kiranga. Hapa ni hoja hasira na dharau hazijengi. So would you please calm down?

La pili wewe unasema CHADEMA wameshamtambua Kikwete kuwa rais, CHADEMA wao wamesema hawamtambui; sasa wewe endelea kuamini unavyoamini na CHADEMA waendelee kuamini wanavyoamini, hiyo ndio demokrasia kaka.

Mimi niko na peace moja kubwa sana maisha haya, hasira ni historia, mimi ninachant tu hapa.

Kama CHADEMA hawamtambui Kikwete kama rais, walivyopiga kura katika kulihakiki chaguo la Kikwete kuwa Waziri Mkuu walipigia kura chaguo la nani ?
 
Kura zilikuwa za siri kwa hiyo hatujui hilo, hatuwezi kujua.

Na pili, swala si walipiga kura ya ndiyo au siyo. Swala ni kwamba ukipiga kura tu, maana yake umekubali kwamba Kikwete aliyemleta Pinda ni rais halali.

Sasa washamkubali Kikwete kama rais halali kwa kupigia kura chaguo lake Pinda, halafu wanasema hawamtambui kama rais, ina confuse.

Kikwete angekua mkristu ungekua ushajitoa mhanga, tungekua tunaongea mengine. Watu wengine wa ajabu sana, UNATEGEMEA KILA RAIS ATAKECHAGULIWA NA CCM UTAMPENDA? Pigania mabadiliko mfano katiba itakusaidia hata wewe baadae. ZINDUKA!!
 
Mgawanyiko nani ka upeleka Chadema? Najua CCM mnatumia kila njama ili kuingiza mganyiko Chadema na hasa katika uongozi wa chama ngazi ya kitaifa, lakini itakuwa ngumu sana maana tunaviongozi makini wanaotambua nini wakifanyacho kwa wakati gani na kwa manufaa ya nani.

Hongera Chadema, maana katiba inawanyonga lakini kamwe wananchi ndio mahakama ya kweli katika kutenda HAKI. JK ni raisi wa muunganao wa NEC na CCM

Kwa akili zako unafikiri kila anayewasema CHADEMA ni CCM
 
Nasikia Mkwere anasema waliotoka Bungeni leo watalazimika kumpigia magoti ili awape hela za kuendeleza majimbo yao!!!!
Siamini hilo kama ni kweli - silaha dhaifu!!! Hivi huyu Mchakachuaji hawajui hawa CDM; kwaniCHADEMA ilipokuwa inakua hadi kutoka wabunge 4 hadi 23 aliwapa hela ngapi. Wait and see the creative minds of CHADEMA!!!!!
Naunga mkono hatua ya kutoka mjengoni na nawapongeza wote waliotoka, na hata wale ambao hawakuwepo.

Hela za kuendeleza jimbo siyo mali ya kiwete, ni hela ya watanzania, haombwi kutoa bali ni lazima kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom