Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

Walivyopiga kura kumhakiki Pinda, pendekezo la Kikwete, walikuwa wanahakiki pendekezo la nani ?

Wee chizi nini, katoe matongotongo na upige mswaki, usianze kuongea kama makamba hapa. waliomhakiki pinda ni nani? acha ufala wewe, utakuwa na matatizo ya akili wewe sio bure.
 
Wanaoshauri Dkt Slaa na Chadema "wakubali matokeo" hawana tofauti na wanaoweza kusema tuache mapambano dhidi ya malaria au ukimwi kwa vile magonjwa hayo yamekuwepo miaka nenda miaka rudi.

TANU ilidai na kufanikiwa kutuletea uhuru wa bendera na kazi ya Chadema ni kudai na kutuletea uhuru wa kiuchumi kazi ambayo serikali ya kidhalimu ya CCM kamwe haitaweza kuifanya na ushahidi ni miaka 49 ya utawala wake wa kifisadi.......................
 
Wee chizi nini, katoe matongotongo na upige mswaki, usianze kuongea kama makamba hapa. waliomhakiki pinda ni nani? acha ufala wewe, utakuwa na matatizo ya akili wewe sio bure.

Matusi mengi ya nini? Ungekuwa umeelewa swali langu ningekwambia unijibu, lakini naona ...

Unafanya siasa kwa unazi? Unafikiri mpira huu au dini?
 
Kitendo cha CHADEMA kutoka ni tukio la kawaida katika medani za siasa, Nawashangaa sana hawa mafisadi ambao wanaona ni kitendo cha ajabu. kwani kusikiliza hotuba mpaka uwepo mjengoni? Waacheni CHADEMA huenda walikuwa na mambo yao ya muhimu. Isitoshe hata baadhi ya wabunge wa CCM wanaopinga ufisadi jana hawakutia mguu mjengoni sasa hao nao mnasemaje?
 
Nasikia Mkwere anasema waliotoka Bungeni leo watalazimika kumpigia magoti ili awape hela za kuendeleza majimbo yao!!!!.

Angekuwa anajiamlia kutoa pesa leo hii kule kijijini kwao Msoga watu wangekuwa wanakunywa maziwa na asali wakati wanacheza bao hata hapo Bwagamoyo angemwaga pesa pangekuwa kama Dubai
 
Mimi niko na peace moja kubwa sana maisha haya, hasira ni historia, mimi ninachant tu hapa.

Kama CHADEMA hawamtambui Kikwete kama rais, walivyopiga kura katika kulihakiki chaguo la Kikwete kuwa Waziri Mkuu walipigia kura chaguo la nani ?

Jibu ni walipigia kura chaguo la rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Bahati mbaya unawauliza wanajiita wasomi kumbe ni vilaza au wamechakachua usomi wao ndio maana wanashindwa kutoa jibu sahihi zaidi ya kulalama na huu ndio uzaifu wa wanachadema.

MSOMI ni mtu mwenye kuvutiwa na fikra na mwenye mbinu za kizisarifu na kuzitumia vilivyo(fikra hizo) baadhi au zote. Profesa Ali Mazurui.
 
CHADEMA kama kweli wameibiwa kura walitakiwa hata wasile kiapo cha ubunge, kwani bunge linamtambua rais, na rais ni sehemu ya bunge.

Au hata kama wangesema wale kiapo cha ubunge kwa sababu hawawezi kuacha uwakilishi, kazi waliyotumwa na wananchi, kwa sababu ya wizi wa Kikwete, basi wangesusia kupigia kura chaguo la Kikwete, wangeanzisha bonge la zali watu waandamane nchi nzima, wamtoe Kikwete. Wangedai first order of business iwe kubadili sheria za uchaguzi na katiba. Hapo ningewaelewa na hata kuwaunga mkono.

Of course the most sensible thing ni kumtambua rais halafu kumletea mgogoro all the same bungeni, kila siku ma special motion ya kubadili sheria ya uchaguzi na mabadiliko ya katiba. Na of course Makinda atataka kuyazima, akiyazima tu mnamuwashia hata kwa maandamano barabarani. Hapo nitaona consistency na maturity.

Sio siku wakiamka kulia wanamtambua Kikwete kama rais, wakiamkia kushoto hawamtambui.

Hayo ni mwazo yako mazuri ya jinsi CHADEMA walivyopaswa kufanya ili uone kwamba kweli hawamtambui Rais.
Hata hivyo pole sana kwani CHADEMA hawawezi kuchukua hata wazo lako moja kwani nao wana nywele zao vichwani mwao na wewe unazo zako.
Inabidi uanze kuzoea tuu, mengi ya namna hii yatakuja siku za usoni.

Hii itatuma ujumbe kwa wananchi kwamba siku Rais akitembelea huko ushwazi na Lori likipelekwa kuwasomba ili waongeze kiwingu cha mikutano wana haki ya kufanya walicho fanya wabunge.

Kwa taarifa yako ndo kwanza tumeingia katika Duru za Mabunge ya kimataifa.
Subiri Bunge la 2016 Watu watapigwa radi za maneno mazito, watapigwa Loba, ngumi, kurushiwa viatu, kurushiwa mafaili na hata spika wa bunge kuingia mitini na kujificha kwa hofu.
Soma Historia ya Mabunge ya India Taiwan Hongkong na Japan.

Kiranga mbona hapo hujaona kitu kabisa!!!? Ukiona picha nzima utavia kwenye wembamba wa hewa Hiiii Hiii!
 
Nimekupa options zote zilizopo,kuanzia insane clown posse mpaka credible, lakini zote ziko consistent.

Tatizo option waliyochagua sasa ni the worst of both worlds, radicals wataona hawafanyi enough, na moderates watawaona kama mko extremists.

Wananchi wanashangaa shagaa tu, na hapo ndipo mnapowapa CCM msemo, wanasema jamaa hawana mipango, wanaenda wanaganga wakiunga unga, mara wanamtambua rais, mara hawamtambui.

These guys are not ready for the prime time.

Kiranga, hivi unaweza kututhibitishia kwa dhati kabisa kwamba viongozi wa chadema hawajui wanalofanya? au unataka kutuambia kwamba siasa za nchi hii unazifahamu sana kuliko wale walioko kwenye uwanja wa mapambano? Inawezekana ushauri wako ukawa wa maana sana lakini huoni na kuafiki kwamba hata hao viongozi wa chadema wana akili zao na maamuzi yao ambayo wanajua yanawapeleka wapi ama wanataka kufikia lengo gani?
Kwa kuwa ukweli ni kwamba kuna watu wengi sana ambao wanaunga mkono hatua zinazochukuliwa na chadema katika kuelezea hisia zao dhidi ya dhuluma iliyofanyika wakati wa uchaguzi, vile vile kuna wengine wanadhani chadema hawako sahihi, lakini hiyo haiwezi kuondoa ukweli kwamba chadema wanajua wanachokifanya na watafanikiwa kufikia malengo yao. Hizo njia unazodhani kwamba ndo sahihi, hata wao bila shaka wanazijua na wamezitafakari na kufikia uamuzi wa kufanya vile wanavyofanya. CCM kuwasema chadema kwamba wanaunga unga sio suala la ajabu, au wewe ulitarajia ccm iwasifie chadema kwa kumsusa mwenyekiti wao? maajabu kama hayo hayatatokea ndani ya tanzania.
 
Matusi mengi ya nini? Ungekuwa umeelewa swali langu ningekwambia unijibu, lakini naona ...

Unafanya siasa kwa unazi? Unafikiri mpira huu au dini?

Nchi hii ni nchi yenye amani lakini ni amani ya kinafiki.
Watu wanakubali kila kitu ili mradi tu yaishe.
Na ndio maana tumefikia hapa.
Achaneni na hawa wa akina KIRANGA ni wanafiki wakubwa wasiolitakia mema taifa hili. Hongereni sana CHADEMA kwa kuonyesha njia. Tusiwe watu wa kuburuzwa tu.

Eti tukubali tujipange uchaguzi ujao 2015, Kwani uchaguzi huo hawataiba?
 
All the more reason unaposema humtambui Kikwete kama rais, tuone unamaanisha hilo. Siyo unasema humtambui wakati ushapiga kura katika chaguo lake la Waziri Mkuu, mi ntakuona msanii tu.

Unalosema ni kweli mkuu maandamano ingekua silaha kubwa sana ila;

Je wangeyapa kibali? kama sio wangesingizia usalama wa nchi utakua mashakani?
na kama wangeyapa kibali wasingepandikiza watu kufanya fujo na kuichafua chadema ionekane kama ni washari kama wanavyotaka watu na jumuiya za kimataifa waamini?

Unaweza kuniambia ni sababu zipi zilikua zinasababisha wachelewe kutoa matokeo ya ubunge kwa sehemu ambazo walikua wanaona hata kuchakachua haiwezekani? kwa nini utake kutest tolerance ya watu kama sio unataka fujo itokee ili upate cha kuongea?
 
CHADEMA kama kweli wameibiwa kura walitakiwa hata wasile kiapo cha ubunge, kwani bunge linamtambua rais, na rais ni sehemu ya bunge.

Au hata kama wangesema wale kiapo cha ubunge kwa sababu hawawezi kuacha uwakilishi, kazi waliyotumwa na wananchi, kwa sababu ya wizi wa Kikwete, basi wangesusia kupigia kura chaguo la Kikwete, wangeanzisha bonge la zali watu waandamane nchi nzima, wamtoe Kikwete. Wangedai first order of business iwe kubadili sheria za uchaguzi na katiba. Hapo ningewaelewa na hata kuwaunga mkono.

Of course the most sensible thing ni kumtambua rais halafu kumletea mgogoro all the same bungeni, kila siku ma special motion ya kubadili sheria ya uchaguzi na mabadiliko ya katiba. Na of course Makinda atataka kuyazima, akiyazima tu mnamuwashia hata kwa maandamano barabarani. Hapo nitaona consistency na maturity.

Sio siku wakiamka kulia wanamtambua Kikwete kama rais, wakiamkia kushoto hawamtambui.

Kiranga ushauri wako ni mzuri na unapendeza kuusikia,cHA KUJIULIZA USHAURI HUO UNATEKELEZEKA KTK MAZINGIRA YA TANZANIA NA WATU WAKE na SHERIA ZAKE?
Embu angalia mazingira ya watanzania ktk mapambano toka kudai uhuru hadi kipindi hiki cha kuchakuliwa kura zao. Je wanaweza kujitokeza barabarani na kuandamana kudai ushindi wa DKT SLAA huku wakiwaona FFU na magari yao ya maji ya upupu, Pili kichwani wakiwa na kumbukumbu ya kauli ya SHIMBO kuwa waTZ yatupasa kukubali matokeo, Tatu kumbukumbu ya wananchi wa Pemba wanachama na wapenzi wa CUF walivyopata kichapo hadi watu 75 kufariki/kufa (takwimu za CUF) na wengine kukimbilia uhamishoni SHIMONI MOMBASA(kuwa wakimbizi)

Hiv kwa mazingira ya watanzania unategemea kweli ukianzisha zali wananchi wa Tanzania ambao toka 1995 vyama vingi vinarudishwa rasmi toka vifutwe miaka ya 1960's wanaambiwa vyama vingi vitaleta vita na kusababisha mauaji watanzania hawa wataielewa CHADEMA kweli? Wewe mwenyewe utakuwa shahidi jinsi SHIBUDA alivyopakaziwa kesi ya mauaji, baada ya hapo CCM wote kuanzia kikwete, makamba ,Riz 1 na wengine wote wakatangazia taifa kuwa CHADEMA sasa wameanza kutekeleza ajenda yao ya kuanzisha vita na machafuko. Ina maana ukumbuki kuwa CCM ktk kampeni zao za uchaguzi 2010 wameshanadi sana kuwa CHADEMA ni chama cha vurugu na wataanzisha vita hivyo watanzania wawaepuke?. Je huoni ushauri wako utakitoa CHADEMA mioyoni mwa watanzania kama ni chama mbadala na kuonekana ni chama cha vita na vurugu. Uoni ushauri wako unakiingiza CHADEMA ktk mtego wa CCM ili wakimalize kisiasa.

Katika kuonyesha hisia za kushindwa kwa kuibiwa kuna mbinu nyingi za kutumia ili kufikisha ujumbe, mfano wewe hukubaliani na mbinu za CHADEMA na CHADEMA hawakubaliana na mbinu zako ndio maana wametekeleza mbinu zao na si mbinu ulizo shauri na kuona wewe zina faa. Na Pia ukisoma michango ya watu wengi humu JF kila mtu anatoa mbinu tofauti zingine zina fanana na zingine hazifanani. Kimsingi tunatofautiana kuhusu mbinu gani itumike na CHADEMA kufikisha ujumbe kwa Wananchi na Jumuia ya Kimataifa kuhusu kuibiwa ushindi.Hivyo si vyema kudharau mbinu za wenzako na kuona zako ni bora sana, yakupasa ukumbuke CHADEMA wako FIELD(yaani uwanja wa mapambano na kila mbinu wanayoitumia inaonekana wazi na kila awezae anaweza kuipinga au kuiunga mkono) wakati sisi tupo jukwaani hapa JF na mbinu tutoazo zinzjadiliwa hapa JF na zingine zinaishia hapahapa. Pengine zingekuwa ndizo zinatumika yaani zipo mstari wa mbele ktk mabambano zingepingwa hadi tungeona haya kuzitetea, Embu tujaribu kuvaa viatu vya CHADEMA tupime je mbinu tunazozitoa ni sahihi au ni changamsha baraza hapa JF.

Kwa maoni yangu CHADEMA wapo sahihi kwa walichofanya ingawaje si 100% hivyo ni vyema wakae chini na kutafakari nini cha kufanya bila kuathiri usalama wa wananchi na hasa wanachama na wapenzi wa CHADEMA ambao wanasubiri kauli yao TU,ili kutekeleza chochote viongozi wa CHADEMA watakacho elekeza. Ni vyema busara itumike ili kuepuka kuingia ktk mitego ya kisiasa inayotegwa na CCM na maswahiba zao CUF, pili mitego iliyopo ktk Katiba/Sheria zetu tata.
 
Kupiga kura ya no it was so kuonyesha kutopendezwa na matakwa ya raisi but kwenye hotuba no meant kuondoka.
Unless kama kulikuwa na kura za kuipigia hotuba ya raisi.
Kumbe common sense is sometimes not common?
 
Kiranga, hivi unaweza kututhibitishia kwa dhati kabisa kwamba viongozi wa chadema hawajui wanalofanya? au unataka kutuambia kwamba siasa za nchi hii unazifahamu sana kuliko wale walioko kwenye uwanja wa mapambano? Inawezekana ushauri wako ukawa wa maana sana lakini huoni na kuafiki kwamba hata hao viongozi wa chadema wana akili zao na maamuzi yao ambayo wanajua yanawapeleka wapi ama wanataka kufikia lengo gani?
Kwa kuwa ukweli ni kwamba kuna watu wengi sana ambao wanaunga mkono hatua zinazochukuliwa na chadema katika kuelezea hisia zao dhidi ya dhuluma iliyofanyika wakati wa uchaguzi, vile vile kuna wengine wanadhani chadema hawako sahihi, lakini hiyo haiwezi kuondoa ukweli kwamba chadema wanajua wanachokifanya na watafanikiwa kufikia malengo yao. Hizo njia unazodhani kwamba ndo sahihi, hata wao bila shaka wanazijua na wamezitafakari na kufikia uamuzi wa kufanya vile wanavyofanya. CCM kuwasema chadema kwamba wanaunga unga sio suala la ajabu, au wewe ulitarajia ccm iwasifie chadema kwa kumsusa mwenyekiti wao? maajabu kama hayo hayatatokea ndani ya tanzania.

CHADEMA wanaungaunga, wangekuwa wanajua wanachofanya na wana mipango ya muda mrefu pamoja wasingeshiriki kura ya kumpitisha bungeni Pinda. Wanatunga mambo huku wanaenda, hawana long term strategy.
 
Ndio maana wote hawakumpigia kura. Ulitaka wafanyaje.

Hujui kwamba wote hawakumpigia kura, kura ilikuwa ya siri, hata wabunge wenyewe hawajui wenzao wamepiga vipi.

Halafu hata kama walipiga hapana, kitendo cha kushiriki kupiga kura maana yake ni kukubali kwamba Kikwete ni rais, Matonya angeleta jina wasingelipigia kura, wangeona kichekesho.
 
nani kakwambia walimpigia kura za ndio?

Nani kasema wamepiga kura za ndiyo? Kuna neno "ndiyo" katika quote yangu hapo juu?

Au Kiswahili ngoma nzito ?

Soma post # 78 nasema kura ilikuwa ni ya siri na hakuna anayejua walivyopiga kura.

For the umpteenth time, ukishakubali kupiga kura, whether yes or no, umeshamkubali Kikwete kama rais.

Kama humtambui Kikwete huwezi kupigia kura chaguo lake, upigie kura chaguo la nani ?
 
Back
Top Bottom