mtihani mzito

Easy sana hiyo mkuu. Block miito yote inayokuja kwenye simu yako, ila utakubali kuwa nje na mawasiliano maana hakuna simu wala msg itakayoingia ila wewe utaweza kupiga na kutuma sms.
kama simu yako ni NOKIA ORIGINAL --Andika *35*0000# then OK to bar all incoming calls and sms. To undo, type #35*0000# then OK. Kwisha habari yake. Hata ukikaa mwaka, hakuna simu au toka kwa vibaka wako itaingia. Kama ya Kichina, hesabu maumivi, sina namna ya kukusaidia.
Hapo vipi?

Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue ya kwangu na mimi nichukue ya kwake kwa muda wa wiki moja. Ameng'ang'ania hilo swala na mimi nina vimeo kwenye simu yangu yaani sijui la kufanya kujiepusha na hili. Msaada wa mawazo unahitaji kuninasua katika hili.

naamini hizo simu mnazitumia kimawasiliano kikazi au kibiashara. si busara mkabadilishana simu na kama unaona ni vyema fanya hivyo ukirudi home au weekend ndo mbadilishane .... la msingi si vyema kujua mkeo anawasiliana na nani kwa kumuuliza ila kama ni suala linalokuhusu wewe atakuambia au kama salama atafikisha .. unatakiwa uwe huru na simu yako na yeye awe huru na simu yake .. mambo ya kufuatiliana kwenye mawasiliano ya simu ni kutaka kuvuruga mahusiano katika ndoa yenu

kakaa wewee nomaa sanaa,unawivu na mkeo wakati we unakulaa vya watu,kilaa mla cha wezake na cheke uliwaaa.kamaa vipi unapotezea hiyo madaa kwa style mpakaa inasaulikaaa.wat is the meaning of personal phn

Easy sana hiyo mkuu. Block miito yote inayokuja kwenye simu yako, ila utakubali kuwa nje na mawasiliano maana hakuna simu wala msg itakayoingia ila wewe utaweza kupiga na kutuma sms.
kama simu yako ni NOKIA ORIGINAL --Andika *35*0000# then OK to bar all incoming calls and sms. To undo, type #35*0000# then OK. Kwisha habari yake. Hata ukikaa mwaka, hakuna simu au toka kwa vibaka wako itaingia. Kama ya Kichina, hesabu maumivi, sina namna ya kukusaidia.
Hapo vipi?

hii nimeikubali mkuu

Mkeo anajua tabia zako mkubwa, halafu huo mwenendo wako utampeleka mwenzio pabaya coz anafanya mambo kwa kukuiga. Nakushauri upunguze machepele!

Easy sana hiyo mkuu. Block miito yote inayokuja kwenye simu yako, ila utakubali kuwa nje na mawasiliano maana hakuna simu wala msg itakayoingia ila wewe utaweza kupiga na kutuma sms.

kama simu yako ni NOKIA ORIGINAL --Andika *35*0000# then OK to bar all incoming calls and sms. To undo, type #35*0000# then OK. Kwisha habari yake. Hata ukikaa mwaka, hakuna simu au toka kwa vibaka wako itaingia. Kama ya Kichina, hesabu maumivi, sina namna ya kukusaidia.

Hapo vipi?

ila mwambie kwanza achange barring coze yani atoe hiyo 0 four, mana dem anaweza ku deactivate kama atashtukia. Na kuselect akiachagua outgoing ameumbuka.

yeye alitakiwa kujibu swali kwamba alikuwa anaongea na nani full stop wala si kudai eti mbadilishane simu acha kuwa ***** usikubali kuendeshwa na mkeo! wewe kuwa na vimeo si hoja hoja ni kwamba wife alikuwa anaongea na nani? wewe komaa nae tu! mpaka atasema tu usioneshe udhaifu ila sasa kama una mke vimeo vya nini?

Pole ila kubadilishana cm sio jibu kwani huenda ushaur 2naokupa naekesha upata hata mkibadilishana haitokusaidia bal kukuingiza kwenye malumban mapya ya vimeo vyako. pili jua mwanamke anaakili ya ziada hata kama ana cheat nivigumu kumjua coz anasabab zakutosh nimwepes kuact lolote na kwakuwa cc hatupend malumbano huisha faster. tatu kuna formation moja ktk mahusiano "ukiona mume/mke anawivu wa ku2humu kuwa una mwenza nje ya mahusian yenu na anakuchunguz sana juwa waz yy ndio mchezo wake" mfn hai nikama ww unahc wife wako anadunguliwa ila ww unavimeo na sio kimeo. ndugu badilika sembuse na mkeo anaburuzwa kama unavyo buruza au utakuta haburuzw ila kachoka na kijitabia chako. nne huenda ww ukizungumza na cm yako hakuuliz ila yy akizung mza fast unataka kujua kama wataka hayo ungekuwa mpole anakwenda bafu unachek cm yake kama unashaka una call kwa yako then ndio ungeingia kwenye malumbano kwa uhakika. ila pole ndugu weng 2napambana na haya usikubal kubadilishana cm mtaachana huku mwapendana. hasra hasara ndugu.

hyo ni moja ya mitego ya kuchunguza uaminifu ktk mapenz najua hawez kukupa lkn anakupima na anajua na we huwez mpa.presha hzo ndugu.ikishindikana umekwama kwa mujibu wa taarifa zko.Gmrng

Usijaribu kabisa kufanya iyo kitu ya kubadilishana cm utamwacha mke ukiwa bado unampenda anakutishia tu hawezi kukupa cm yake unaweza kuta ana vimeo we mwenyewe mwanafunzi

Mwambie asipende ku copy and paste. Hilo wazo umevumbua wewe yeye atafute lingine. Akupe simu yaishe. Hapo ni dalili unaibiwa, ila kwa kuwa anahisi unavimeo vingi anakunyamazisha kiaina.

Easy sana hiyo mkuu. Block miito yote inayokuja kwenye simu yako, ila utakubali kuwa nje na mawasiliano maana hakuna simu wala msg itakayoingia ila wewe utaweza kupiga na kutuma sms.

kama simu yako ni NOKIA ORIGINAL --Andika *35*0000# then OK to bar all incoming calls and sms. To undo, type #35*0000# then OK. Kwisha habari yake. Hata ukikaa mwaka, hakuna simu au toka kwa vibaka wako itaingia. Kama ya Kichina, hesabu maumivi, sina namna ya kukusaidia.

Hapo vipi?

yes! Hii nimekubali! 100% inafanya kazi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom