Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 124
Kama CCJ mna uhakika wa Kusimama peke yenu na kupata at least 50% ya viti vya Bunge ambavyo vitawawezesha kurekekisha sheria mbalimbali na hata katiba then hamna sababu ya kufanya any kind of Coalition au Ushirikiano na Chama chochote kile. For that nasema Go CCJ go CCJ
Ila kama Ujio wenu na Mipango yenu ya kuwa peke yenu itasababisha hata kile kidogo kilichokuwepo bungeni kisiwepo tena, namaanisha kama mbinu zenu zitapelekea kwa kippindi cha 2010/15 bunge letu liwe 100% CCM basi kizazi cha wana wa nchi ya Tanzania Hakitakaa kiwasamehe Milele
2/3 ili kuweza kupitisha kitu chochote