Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
I will continue with this mdahalo on November 4th 2010 after 75% of matokeo ya uchaguzi Tanzania yametoka hadharani.....!
My dear Brother Shalom,
What happened to the bullet point items during CHADEMA elections last year or during Chacha Wangwe saga? If tiy advocate to be a Saint, then you should live, talk and walk like a Saint.
What happened to CHADEMA during Chacha Wangwe saga and later on the elections between Zitto, Wazee wa Chadema and even the youth wing with Kafulila is a joke and it sshows Watanzania that you (CHADEMA) are one and same with CCM!
Yeah 20 years and marginal progress! If ChADEMA as intellectual as it appears was that great, how come the intellectuals and urbanites of Tanzania are not falling in love wit it and assure its supremacy? If at the intellect level and academic (CHADEMA believes it is a Scientific and organized party) level it can not persued the Urbanites , how can it conquer the ruralites?
I will continue with this mdahalo on November 4th 2010 after 75% of matokeo ya uchaguzi Tanzania yametoka hadharani.....!
Rev. KishokaI will continue with this mdahalo on November 4th 2010 after 75% of matokeo ya uchaguzi Tanzania yametoka hadharani.....!
Rev. Kishoka
Inavyoonekana unasubiri matokeo kwa hamu ili uje kutuambia unaona si nilisema, kwa akili yako inaonyesha tayari umejiandaa kufurahia kushindwa kwa upinzani.
Kama alivyosema Shalom wengine hapa hatushabikii upinzani kwa njaa au unafikiri hatuijui milango ya CCM ilipo, nilishasema toka mwanzo usione Luteni anashabikia upinzani ukadhani napungukiwa kitu, inawezekana mimi nafaidi serikali na CCM zaidi ya yule anayejifanya CCM damu na kuambulia kofia na tsheti tu.
Ngoja nikutoe wasiwasi Kishoka ili usisumbuke kusubiri matokeo ya November whatever comes i'll remain to be Luteni ndani ya JF, kwangu matokeo ya aina yeyote ile ni changamoto tosha, mwanajeshi huwa hakatishwi tamaa na kifo cha mwenzake badala yake hutiwa moyo na kusonga mbele.
Poa at least mwenzetu una pa kudowea! lakini kumbuka kuwa hao unao wadoea kama wangekuwa na mentality kama zako sijui ungeenda kudoe wapi sasa. Sisi tutajitahidi kwa kila khali kuhakikisha kuwa tumejaribu na tukishindwa tutakubari.
By the way usije ukadhani kuwa fighting yetu ni kwa sababu tuna maisha duni la hasha bali ni ile kupenda kuishi civilised.
Ciao mchungaji Kishoka see you in October and God Bless You
Mkuu nakusikia sanaa yaani inachekesha sana sisi Wadanganyika. Wepesi sana wa Kulaumu. Sote hapa tunapiga vita Ufisadi,hatua ya kwanza imeshindikana kiasi kwamba tunamwona JK rais Dhaifu kwa sababu ameshindwa kuchukua maamuzi magumu!Hadi sekunde hii ccj imeshapoteza imani na kujiamini mbele ya wananchi. Inavyoonekana hawatapata usajili wa kudumu. Kwa nini wasijichanganye na chama kingine kuleta mabadiliko? Wanaopinga mseto wowote wana lao. Wanasema mbona mseto wa vyama vyote haupo. Kama mitazamo inatofautiana waungane tu? Cuf, tlp, chadema wana misimamo tofauti. Iweje waungane tu? Hata wewe unakuwa karibu na wale unaohisi kuendana nao. Ni wakati muafaka kwa ccj kusikiliza ya cdm na kuleta mabadiliko nchini
Luteni.. nyinyi sijui kwanini hamtaki kunisoma.. nimeshauliza huko nyuma mara nyingi.
a. Waungane kiwe nini?
b. Muungano uwe kwa msingi gani?
c. Baada ya kuungana kinakuwa nini?
Tumeimba mara nyingi.. 'wapinzani waungane' sijui "muungano wa upinzani' mara "waungane kuwa na nguvu bungeni" lakini hakuna anayejibu maswali hayo. Wanasema waungane ili "waiangushe CCM" nikiwauliza ili 'kiwe nini' wanasema "i don't care, tunataka CCM ing'oke".. huu siyo muungano.
Chadema: Tuko tayari kushirikiana na CCJ
9th June 2010
Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimesema kiko tayari kufanya kazi na Chama cha Jamii (CCJ) kwa kuwa katiba ya chama hicho inaruhusu kufanya hivyo.
Mkurugenzi wa Habari wa Chadema, Erasto Tumbo, alisema kwa kuwa suala hilo limo ndani ya Katiba ya chama ni dhahiri watakuwa tayari kufanya kazi na chama hicho.
Tutakuwa tayari kufanya kazi na CCJ kimkakati wa ushindi na Katiba inaruhusu kufanya hivyo, kushirikiana na wenzetu kuweka mikakati ya ushindi, alisema Tumbo.
CHANZO: NIPASHE
Hii ni post no .130.
....masikini Mpendazoe kapotea maboya kadanganyika, wanamsifu machoni huku wakimcheka moyoni. Wanampa moyo ashughulikie usajili, awe ndio msemaji na wao wako nyuma yake, kumbe moyoni wanajua fika hawajiunga nae, time will tell, na Mpendazoe atakapo ujua ukweli, atauweka bayana, by that time wenzake watakuwa wamerejea bungeni kwa tiketi za chama kile kile, huku yeye akiend-up with frustrations na kuishia kurejea CCM kwa aibu.
Pasco kwa vile mengi uandikayo yanatoka moyoni ndio maana maandishi yako yanadumu. We mzee Fred Mpendazoe hebu pitia uzi huu wa Pasco wa miaka 6 iliyopita labda akili itafunguka na kujua kuna watu wanaufahamu mkubwa hata kama wanaishi kama kivuli.
Mchukia Fisadi, Mzee Mwanakijiji sio mara moja wala mara mbili, ameshawahi kusema/andika impliedly na expresly yeye ni mshabiki wa chama gani japo alikiri kuwa kaomba kadi ya uanachama hajapatiwa.
Kwenye upinzani wetu nyumbani, wako wapinzani walioko vyama vingine lakini mapenzi yao ni kungine, na pia wapo wana CCM ambao genuinely wanakerwa na uchafu wa CCM, hawana mapenzi tena na CCM ila bado wako CCM na wataendelea kubaki humo humo kwa lengo la kuisafisha from within, au wako humo kwa sababu hawajaona pa kwenda, na wengine wako huko kwa sababu tuu huko ndiko kwenye opportunities.
Tarumbeta/ baragumu la Mwanakijiji kuhusu CCJ linaashiria ndani ya CCJ kuna wana CCJ wa moyoni ambao bado wako vyama vingine wakisubiria usajili upite na kati yao pia wako waliodanganywa, wako wanaodananya, na pia wako wanaowandanyanya wenzao kuwa wako pamoja, masikini Mpendazoe kapotea maboya kadanganyika, wanamsifu machoni huku wakimcheka moyoni. Wanampa moyo ashughulikie usajili, awe ndio msemaji na wao wako nyuma yake, kumbe moyoni wanajua fika hawajiunga nae, time will tell, na Mpendazoe atakapo ujua ukweli, atauweka bayana, by that time wenzake watakuwa wamerejea bungeni kwa tiketi za chama kile kile, huku yeye akiend-up with frustrations na kuishia kurejea CCM kwa aibu.