ikiona hivyo ujue kilicholetwa jamvini ni cha kipumbavu bora kingekuwa cha kijinga ,hakina maana ,leta issues ya maana kuliko kuleta hisia .Changieni mada acha kukosoa mada.
Hapa ndo unajua nani ni nani.
Itatiro langu linauma kwelikweli!! Wasichana wa Kimboka watakuwa wamesha lijeruhi
ukisoma gazeti la mtanzania ya leo limeelezea mambo mengi kuhusu itatiro. Lakini kubwa zaidi ni hili la kutaka kuiendesha cuf kichadema zaidi. Mfano wanasema alishauri lipumba asiende siku ya kuapishwa kikwete na hata alishauri cuf watoke nje siku ya kupitishwa mswada wa katiba.
Hata mapendekezo ya kubadili mswada ambao umeshangiliwa sana na cuf yametoka kwake.
Mnakumbuka msimamo wake hapa jf kuhusu mswada ulikuwa tofauti sana na msimamo waliouchukua cuf. Kwa hali hiyo namshauri ajiunge tu chadema. Na gazeti limeeleza kuwa alimwandikia lipumba msg kusema kuwa cuf hakiwezi kumfikisha mahali anapotaka na lipumba akampa unaibu ili asiondoke.
Namshauri asiendelee kukaa kwenye chama ambacho yeye mwenyewe hashabihiani na malengo na itikadi yake. Viongozi wa cuf wanamlalamikia kama pandikizi la chadema ndani ya cuf , si maneno yangu ila gazeti hilo
hata mimi nilikuwa nakiwaza sana hicho kitu kuwa ni kwa nini mtatiro yuko ccm B anafanya nini wakati vijana wenzake tuko chadema mtatiro mura si uje chadema alafu huyu jamaa ni mkurya au ni kabila gani kwa sababu haya majina ya mtatiro ni ya kwetu pare tarime mura thoka uko mura njoo chadema na ungekuwa uku wetu ungekuwa mubhunge haya kaka hizo ni changa moto unaweza zifanyia kazi
Ndiye mwenyewe aka mzee wa jazba
huyu jama namkubali sana, msimamo wake kuhusu mikopo wa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2006-2008 ulitusaidia walio wengu kusoma pale udsm. ni mwana mapinduzi halisi.., maana jamaa aliwahi kukesha pale nje ya bodi akishinikiza tupewe mikopo na tukapata kweli.Mimi ni mmoja wa Watanzania ninayeamini kwamba Naibu katibu mkuu wa CUF ndugu Julius Mtatiro ana influence kubwa kisiasa tatizo hana jukwaa la kusimamia ndani ya chama dhaifu cha CUF japo simjui kiundani(wadau mtamchambua). Naamini Bwana Mtatiro anapoteza tu muda kwa kuwepo kwenye chama kinachopoteza umaarufu kila uchao kwa kitendo chao cha kufunga ndoa na CCM.Mfumo wa vyama vingi sio tu mwanzo wa mabadiliko ya kweli, bali vyama makini ndio mwanzo cha mabadiliko ya kweli yenye tija kwa taifa.Viko wapi NCCR,UDP,TLP n.k., yale matusi ya vyama vya msimu toka CCM hayajawagusa kwa sababu tu wao ni matawi ya CCM. Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani. Ndugu Mtatiro, CHADEMA:A S 103: ndio chama sahihi kwa ndoto zako za kisiasa. Tafakari..Usipoteze muda..Fanya Maamuzi!
By MAYOO
Binafsi namheshimu huyu jamaa kwani alikuwa mpiganaji mzuri wa haki wakati tuko udsm. Nakusihi angalia tz inakoelekea ndugu yangu ndo hiyo uliyokuwa ukiiota ktk maisha yako? Mbona watu wa mara si wanafiki, hawapendi wanakuambia, uking'ang'ania kama nyambali wanaku-displini, iweje kaka upoteze muda wako huko ccm b? Hao cuf wamekuweka ili kujisafisha na udini tu.
Unamainisha ni kama vile alivyoekwa pro.Safari na Chadema ili kujisafisha na udini?
da kwel jf burudani
Ukiwa mwana Jf sahau kujinyonga