Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

Status
Not open for further replies.
Kwanza nawapa pole sana ndugu zetu wa Kenya kutokana na kitendo cha ukatiri uliyo pitiliza mipaka, tunawaombea walio poteza maisha Mungu alaze roho zao mahali pema peponi - AMEN.

Mkuu, tukija kwenye documentary ya Al Jazeera, hata mimi miaka kama miwili hivi iliyopita niliwahi kuona Documentary nyingine ya Al-Jazeera, ilikuwa inazungumzia kuhusu Wakenya wa Garrisa wenye asili ya Somalia; mtangazaji alikuwa Msomali mzaliwa wa Garrisa ameajiliwa Al Jazeera - mazungumzo niliyo sikia kwenye documentary hiyo yalinishangaza sana - sikuamini masikio yangu!! Kwanza, Msomali huyo alisema alikimbia Kenya miaka mingi iliyopita kutokana na mateso aliyo wahi kupata akiwa mikononi mwa Polisi, jamaa na ndugu zake hawakuwahi kusalimika kutokana na matendo ya ukatili na baadhi yao kuuwawa na Polisi bila sababu za msingi! Aliongezea kwamba, wakati mwingine wanajeshi walikuwa wanavamia nyumba zao usiku wa manane wanavunja milango na kuwafanyia vitendo vya kuwadhalilisha, wakati mwingine Wanajeshi wanafanya summary excution!! Mark you - mtangazaji alisema ukatili huo ulikuwa unafanyika kwa muda mrefu kabla hata ya kikundi cha Al-Shabaab hakija hibuka/hundwa huko Somalia.

Mtangazaji huyo na Camera crew wa Al Jazeera alirudi Garrisa kinyemela, aliwahoji Wasomali wenzake kinacho endelea kwenye Mji wa Garrisa na Vitongoji vyake tangu ahame kwenda Ulaya - wenyeji wenye asili ya Kisomali walilalamika sana kwamba wanasumbuliwa na kudhalilishwa kwa miaka mingi sana, walimwambia mambo mengi sana kutokana na kumuamini Kijana huyo mzaliwa wa Garrisa.

Baada ya kusikiliza Documentary hiyo ambayo ilichukua muda mrefu kidogo ndio nikagundua kwamba Somali Community in Northern Kenya wanajihisi wanabaguliwa sana na Taifa lao la Kenya, binafsi ningeshauri Viongozi wa Kenya wajaribu kukaa chini na watu hawa na kuwahakikishia kwamba hawatafanyiwa vitendo vya kutowajali/kudhalilisha - mkipuuzia ushauri wangu basi Wasomali wa Garrisa na wa sehemu nyingine za Kenya watashawishika kuwapa hifadhi Al-Shaabab - tukajikuta Africa Mashariki tunapata zahama za Africa Magharibi na BOKO ARAM, inaelekea Al Shaabab wameanza kutumia mbinu za BOKO ARAM - tuwe macho.

Labda nimalizie kwa kusema kwamba Viongozi wa Kenya wasijingize sana kwenye masuala ya Somalia, adhabu mlio wapa Al Shaabab inatosha ondoeni majeshi yenu Somalia hakuna atakae wacheka - wahacheni Wasomali wayamalize matatizo yao wenyewe - kama wanataka Taifa lao liwe Islamic Republic- shauri yao mbona Taifa lao limewahi kuishi zaidi ya miaka ishirini bila ya kuwa Serikali, mizigo ya Regime chage wahachie wa Merikani wahangaheki nalo lakini na wao utafika wakati watachoka kukimbizana na Al-Shaabab.
Jamii ya Somalia Kenya inaonekana imeteseka na kuonewa na GoK kwa muda mrefu, hii jamii kwa vyovyote baadhi yao watashirikiana na Al Shabab, ni muda muafaka sasa kwa GoK kwenda kuondoa sintofahamu yao na hii jamii, lakini ubaguzi hautapungua Kenya basi wajue tu Al Shabab watapata sympathizers wa kutosha kutoka jamii ya kisomalia.
 
Mtanzania huyo amekutwa ndania ya chuo hicho na rekodi zinaonyesha si mwanafunzi anaesoma hapo kwahiyo ameshikiliwa kama mshukiwa

ni dhahiri sasa serikali ya tanzania inatakiwa kuwa macho na wimbi hili la watanzania kujihusisha na ugaidi wasije kuturudi wenyewe.

Bbc swahili
Msukumo wa Ugaidi umetoka katika dini yake.

Here is the proof:

Surat Al Baqara 191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Allah anasema kwa uwazi kabisa, WAUWENI MAKAFIRI. Aiimaanisha Wauweni Wakristo na Wayahudi.

Sasa nani atabisha kuwa hii dini haipigii debe ugaidi?

Allah anaendelea katika
surat Al Baqara 244. Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Msikizi na Mjuzi.

SASA, mnaelewa kuwa, kitu anacho kifahamu Allah ni kumwaga damu tu.

Hakika Allah si Mungu mwenye upendo ambaye alimtoa mwane wake afe kwa ajili ya dhambi zako.
 
Kama ni mhusika kweli afinywe vilivyo, Tz hatufugi huu uchafu.
Ingawaje kuna uwezekano vilevile anaweza kuwa mhanga tu, media ya Kenya imekuwa inajaribu kwa nguvu sana kulihusisha ili tatizo la Al Shabab na Tz, nia ni either kuiingiza Tz katikati mgogoro au kuharibu image ya Tz pia kwamba si sehemu salama kama ilivyo Kenya.
Ile habari ya wiki iliyopita ya wasichana waliokuwa wanavuka kuingia Somalia imepewa headlines sana kwenye media zao sababu kuu ni moja, miongoni mwa wale wasichana watatu, mmoja wapo ni Mtz.
Kama Kenya kweli wana nia ya dhati ya kumaliza hili tatizo, waache propaganda na watatue kwenye kichwa cha tatizo haswa

Hapo unaisingizia serikali ya Kenya. Wao wanaripoti yaliyotokea.
 
Kumbuka ile ni university siyo school, lakini pia ina maana hakuna watanzania waishio kenya? Punguza ushabiki majirani wameteleza.

Na je hakuna waTanzania wenye kushabikia na kusupport hayo yanayofanyika Kenya (kupitia posts zao) kiasi kama wangepewa nafasi wangetekeleza?
 
Tatizo watanzania mnaabudu sana umalaya, umalaya to bone... this is bulshit..atawajua wakenya vizuri.. nani kasema anafuata demu? Tanzania mademu wapo tele..nyie mnadhani kuna wa kumtetea kama ana jina la wale jamaa...? hawachunguzi sana wanammaliza tu... mkome

Umeeleweka mkuu. Haya asante.
 
Kwa hiyo akili yako ndogo inakuaminisha kuwa huyo mfuasi wa allah wa maka alienda hapo chuoni kufanya uzinzi. Hivi unadhani nchi zote na vyuo vyote duniani wanafunzi wanapeleka uchafu wao chuoni kama mfanyavyo kwenye vyuo vyenu. Hilo ni gaidi wakenya walichinje tu

Akili Zako Zinafanana Na Bwana Wako Gwajima.
 
hatari.jpg
 
Mtanzania huyo amekutwa ndania ya chuo hicho na rekodi zinaonyesha si mwanafunzi anaesoma hapo kwahiyo ameshikiliwa kama mshukiwa

ni dhahiri sasa serikali ya tanzania inatakiwa kuwa macho na wimbi hili la watanzania kujihusisha na ugaidi wasije kuturudi wenyewe.

Bbc swahili
PDVD_031.jpg
 
tatizo wakenya wanachuki na Tanzania kisa Obama kuja Tanzania badala ya kenya
 
Unachokitaa ni nini? Hiyo mistari ya Quran unaikataa au hujui kiingereza?

Hata hivyo, kujua wewe ni gaidi mwaga damu, haihitaji kwenda kwenye katiba yenu. Mtu yeyote anayesoma matusi, chuki na ghadhabu yako hapa, moja kwa moja atajua kweli wewe ni muislam. Maana huu uliouanika hapa ndio uislam haswaaaaaaaaaaaaaaaa!

Ila kwenye Katiba ya nchi hatuwaandiki!



Kaa kimya kafiri wewe huna unalolijua katika uislamu....huyo basha wako hitler alipofanya mauaji ya wayahudi aliongozwa na kitabu keng.e wewe...........
 
wala mie sishangai. maana hata humu ndani wapo wengi sana. kiongozi wao ni mohamed said, katibu wao ni faiza fox

Hawa watu ingekuwa kwa Generali PK wasingekuwepo ila kwa vile hapa wanacheza nao makida makida,wataleta madhara makubwa sana siku moja

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyo Huenda Alikuwa Amekwenda Kwa Mchumba Wake Kulala Nae Usiku Huo.Apimwe Manii Itajulikana Kama Siku Hy Alisex.Au Amtaje Mwenyeji Wake Hapo.Na Je Getini Alipoingia Alisaini Anaenda Kumuona Nani Mwenyeji Wake?

Kama alikuwa na simu ni bora wafuatilie mawasiliano yake,anyway vyuoni huwa mnakuwa na watu kibao wasiokuwa wanachuo wengine wanafuata mademu wengine wezi tu.Hivyo yaweza kuwa hata huyo ni mhanga tu.Km ni gaidi basi abanwe ataje wenzake waliopo huku Tz
 
usiendeshwe na hisia. tafuta ukweli. kisa cha kenya kushambuliwa na al-shabab ni kwa sababu wamepeleka majeshi yake kupigana somalia. na hili lilisemwa waziwazi na Al Shabab.

Okay,
Na sababu ya mtanzania msichana kukamatwa akiwa mbioni kujiunga na Alshabab?
Na sababu ya Mtanzania kukutwa chuoni Kwenye matukio mengine ya Kigaidi tena alfajiri
Unakumbuka yule wa Ubalozi wa merekani? yupo wapi hadi leo..
Unakumbuka wale wa tindikali?
Hizo nazo ni hisia?
Tunaendelea kulala kwa visingizio vya kijijnga alafu wakiamka sawa sawa tunaanza kulalamika... endeleeni kufuga majipu... Mwenzako akinyolewa zako tia maji...agaidi wana sababu elfu za kufanya ugaidi popote...
 
Acha uwongo wa kijinga.. maelfu wanakufa wewe unaleta mitafaruku ya kidiplomasia..ungeeleweka vizuri iwapo;
1. Hao wanaotajwa kweli si watanzania.. ingekuwa propaganda.
2. Kama hakuna watanzania wanaoamini kwenye hayo masuala...extremists, jihadists,
3. Kama hatujawahi kuwa na record ya religion fundamentalists kufanya matukio ya aina hiyo anzia 1998.. hiyo sio propaganda ni filimbi mfunge mlango na hao majihadi natoa wito washughulikiwe na serikali ya kenya vilivyo..hatuna haja ya kufuga mipaka pori sisi.....bad is bad, no matter where its coming from... to hell
hata upige kelele vipi aisaidii, kichapo mmeshachezea, wenyewe wakiua wasomalia mpo kimya ila nyie mkiuawa kidogo tu mnapayuka hadi mashimo yenu huko nyuma yanatoa harufu, kwa mwenye akili ataelewa kuwa hao wasomali wanataka kuwagawa wakenya wakristo ili wawachukie waislam waanze vita ya wenyewe kwa wenyewe
 
hata upige kelele vipi aisaidii, kichapo mmeshachezea, wenyewe wakiua wasomalia mpo kimya ila nyie mkiuawa kidogo tu mnapayuka hadi mashimo yenu huko nyuma yanatoa harufu, kwa mwenye akili ataelewa kuwa hao wasomali wanataka kuwagawa wakenya wakristo ili wawachukie waislam waanze vita ya wenyewe kwa wenyewe

Kwani wanaopigwa Somalia ni Raia? sasa wewe unashangilia watu kuuwawa kwa visingizio vya dini? after all dini yenyewe inatamka wazi wawachukie wasio waamini na wawakate vichwa, hapo wanawabagua mara ngapi?
Ukifikiri Tanzania mko salama, hamna la kusema.. subirini jeuri ya magaidi ndio mtajua uchungu wake.
 
Hapa Tanzania kuna uwezekano wa uwepo wa watu wa aina hiyo wengi sana, wanakosa tu fursa ya kufanya hivyo... wewe hata huku JF huwaoni comment zao? Dini inafundisha kuua kwa niab ya Mungu? Dini au jini? nikiangalia watoto waliojaa mustakabali walivyouwawa kwa sababu ya imani ao roho inaniuma sana..hao watoto wamewakosea nini? mijitu mioga sijawahi ona.....

Nahisi kama uwislam usingekuwepo na neno ugaidi wala lingekuwepo duniani kuanzia karne ya karne 20
 
Kwani wanaopigwa Somalia ni Raia? sasa wewe unashangilia watu kuuwawa kwa visingizio vya dini? after all dini yenyewe inatamka wazi wawachukie wasio waamini na wawakate vichwa, hapo wanawabagua mara ngapi?
Ukifikiri Tanzania mko salama, hamna la kusema.. subirini jeuri ya magaidi ndio mtajua uchungu wake.
usipende kukariri wewe bint, uislam haujaamrisha hayo, embu sasa hivi google hayo maandishi in red halafu lete majibu hapa pimbi wewe
can a muslim man marry a non muslim according to quran
 
Nahisi kama uwislam usingekuwepo na neno ugaidi wala lingekuwepo duniani kuanzia karne ya karne 20
tuendelee hivihivi halafu tuone mwisho wa siku nani ataibuka mshindi, waliomuua mungu wenu walikuwa waislam? mbona mungu wenu alijitoa muhanga kwa ajili yenu?
 
Nikweli kuwa chuoni sio mpaka uwe mwanafunzi, na pia watanzania wengi wanaishi kenya, sema issue ni uraia na labda dini yake ila wasimuhusishe moja kwa moja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom