Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

Status
Not open for further replies.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Mtanzania huyo amekutwa ndania ya chuo hicho na rekodi zinaonyesha si mwanafunzi anaesoma hapo kwahiyo ameshikiliwa kama mshukiwa

ni dhahiri sasa serikali ya tanzania inatakiwa kuwa macho na wimbi hili la watanzania kujihusisha na ugaidi wasije kuturudi wenyewe.

Bbc swahili
 
Kuna uwezekano mkubwa wa asie mwanachuo kuwa chuoni.
Tatizo hapo ni utanzania wake na labda uislam.
 
Hapa Tanzania kuna uwezekano wa uwepo wa watu wa aina hiyo wengi sana, wanakosa tu fursa ya kufanya hivyo... wewe hata huku JF huwaoni comment zao? Dini inafundisha kuua kwa niab ya Mungu? Dini au jini? nikiangalia watoto waliojaa mustakabali walivyouwawa kwa sababu ya imani ao roho inaniuma sana..hao watoto wamewakosea nini? mijitu mioga sijawahi ona.....
 
Kuna uwezekano mkubwa wa asie mwanachuo kuwa chuoni.
Tatizo hapo ni utanzania wake na labda uislam.

Wewe nawe upo kama unatumia masaburi, chuo kipo Kenya, ye anafanya nini huko wakati sio Mwanafunzi? Atakuwa gaidi tu ngoja wambonyeze vizuri hakuna cha utanzania hapo kwenye maisha ya watu.. na kama anatoka kwenye iyo dini watammaliza vizuri tu...hakuna utaifa kwenye mambo ya kijinga namna hiyo...
 
Kwa mujibu wa matangazo ya bbc , imeripoti kuwa mtanzania mmoja ni miongoni mwa watu wanaotiliwa mashaka baada ya kukamatwa katika eneo la chuo ambacho wanamgambo wa alshabab walikishambulia na jumla ya wanafunzi 147 walipoteza maisha, polisi nchi kenya wamethibitisha mtu uyo ambae ni raia wa tanzania alifika hapo chuoni kwa madhumuni gani wakati hakuwa mwanafunzi , ubalozi wa tanzania kenya aijatamka lolote kuhusiana na raia wake huyo,
 
Wewe nawe upo kama unatumia masaburi, chuo kipo Kenya, ye anafanya nini huko wakati sio Mwanafunzi? Atakuwa gaidi tu ngoja wambonyeze vizuri hakuna cha utanzania hapo kwenye maisha ya watu.. na kama anatoka kwenye iyo dini watammaliza vizuri tu...hakuna utaifa kwenye mambo ya kijinga namna hiyo...
Easy bro utamumaliza.

swissme
 
Kama ni mhusika kweli afinywe vilivyo, Tz hatufugi huu uchafu.
Ingawaje kuna uwezekano vilevile anaweza kuwa mhanga tu, media ya Kenya imekuwa inajaribu kwa nguvu sana kulihusisha ili tatizo la Al Shabab na Tz, nia ni either kuiingiza Tz katikati mgogoro au kuharibu image ya Tz pia kwamba si sehemu salama kama ilivyo Kenya.
Ile habari ya wiki iliyopita ya wasichana waliokuwa wanavuka kuingia Somalia imepewa headlines sana kwenye media zao sababu kuu ni moja, miongoni mwa wale wasichana watatu, mmoja wapo ni Mtz.
Kama Kenya kweli wana nia ya dhati ya kumaliza hili tatizo, waache propaganda na watatue kwenye kichwa cha tatizo haswa
 
Mtanzania huyo amekutwa ndania ya chuo hicho na rekodi zinaonyesha si mwanafunzi anaesoma hapo kwahiyo ameshikiliwa kama mshukiwa

ni dhahiri sasa serikali ya tanzania inatakiwa kuwa macho na wimbi hili la watanzania kujihusisha na ugaidi wasije kuturudi wenyewe.

Bbc swahili

Huyo alifuata mchepuko wake hapo Gharisa, hii itakuwa ajali kazini.
 
Wewe nawe upo kama unatumia masaburi, chuo kipo Kenya, ye anafanya nini huko wakati sio Mwanafunzi? Atakuwa gaidi tu ngoja wambonyeze vizuri hakuna cha utanzania hapo kwenye maisha ya watu.. na kama anatoka kwenye iyo dini watammaliza vizuri tu...hakuna utaifa kwenye mambo ya kijinga namna hiyo...

Huyo Huenda Alikuwa Amekwenda Kwa Mchumba Wake Kulala Nae Usiku Huo.Apimwe Manii Itajulikana Kama Siku Hy Alisex.Au Amtaje Mwenyeji Wake Hapo.Na Je Getini Alipoingia Alisaini Anaenda Kumuona Nani Mwenyeji Wake?
 
Kama ni mhusika kweli afinywe vilivyo, Tz hatufugi huu uchafu.
Ingawaje kuna uwezekano vilevile anaweza kuwa mhanga tu, media ya Kenya imekuwa inajaribu kwa nguvu sana kulihusisha ili tatizo la Al Shabab na Tz, nia ni either kuiingiza Tz katikati mgogoro au kuharibu image ya Tz pia kwamba si sehemu salama kama ilivyo Kenya.
Ile habari ya wiki iliyopita ya wasichana waliokuwa wanavuka kuingia Somalia imepewa headlines sana kwenye media zao sababu kuu ni moja, miongoni mwa wale wasichana watatu, mmoja wapo ni Mtz.
Kama Kenya kweli wana nia ya dhati ya kumaliza hili tatizo, waache propaganda na watatue kwenye kichwa cha tatizo haswa
Acha uwongo wa kijinga.. maelfu wanakufa wewe unaleta mitafaruku ya kidiplomasia..ungeeleweka vizuri iwapo;
1. Hao wanaotajwa kweli si watanzania.. ingekuwa propaganda.
2. Kama hakuna watanzania wanaoamini kwenye hayo masuala...extremists, jihadists,
3. Kama hatujawahi kuwa na record ya religion fundamentalists kufanya matukio ya aina hiyo anzia 1998.. hiyo sio propaganda ni filimbi mfunge mlango na hao majihadi natoa wito washughulikiwe na serikali ya kenya vilivyo..hatuna haja ya kufuga mipaka pori sisi.....bad is bad, no matter where its coming from... to hell
 
Huyo Huenda Alikuwa Amekwenda Kwa Mchumba Wake Kulala Nae Usiku Huo.Apimwe Manii Itajulikana Kama Siku Hy Alisex.Au Amtaje Mwenyeji Wake Hapo.Na Je Getini Alipoingia Alisaini Anaenda Kumuona Nani Mwenyeji Wake?

Tatizo watanzania mnaabudu sana umalaya, umalaya to bone... this is bulshit..atawajua wakenya vizuri.. nani kasema anafuata demu? Tanzania mademu wapo tele..nyie mnadhani kuna wa kumtetea kama ana jina la wale jamaa...? hawachunguzi sana wanammaliza tu... mkome
 
Mtanzania huyo amekutwa ndania ya chuo hicho na rekodi zinaonyesha si mwanafunzi anaesoma hapo kwahiyo ameshikiliwa kama mshukiwa

ni dhahiri sasa serikali ya tanzania inatakiwa kuwa macho na wimbi hili la watanzania kujihusisha na ugaidi wasije kuturudi wenyewe.

Bbc swahili

Wapo macho na cdm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom