Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

Status
Not open for further replies.
Kwa wale makafiri wanaojaribu hapa kuonyesha na kutafsiri aya za Quran ni sawa mtu anayejua kusoma na kuandika ambaye anaisoma sheria fulani na kuitolea tafsiri. Ni ujinga kuamini kuwa dini ya Kiislam inaamuru kuwaua wasio Waislam. Aya mnayoitafsiri humuijui maana yake. Aya za Kiislam zilitoka wakati wa tukio fulani,na aya hiyo ya kuwaua wasioamini ilishuka wakati wa vita vya makafiri na waislam,na ni makhsusi pale nyie makafiri mnaposhambulia waislam ni lazima tuwaue,tusipowaua mtatuua ndiyo maana ya vita. Uislam hauna uadui na asiye ufanyia uadui. Msitafsiri aya za Quran bila kuwa na ufahamu. Mimi ni Muislam siungi mkono mashambulizi ya magaidi kwa watu wasio na hatia. Nyie mnaotafsiri Quran,je makanisa yenu yanafungisha ndoa mashoga tuamini kuwa Yesu alikuwa mtoto si riziki(shoga)? This crazy world kila vioja vitatokea kama hao magaidi,kina Konny,maaskofu wanaofungisha ndoa ------- na wasagaji makanisani. Si vyema kutukana dini za watu bali watukanwe watendao mabaya

Mbona unapanic Sheikh...twende taratibu;

Kwahiyo unataka kusema Quran imeandikwa kimatukio? na kama ni kweli basi imekuwa irrelevant kutumika sasa,
Hata hiyo unataka kusema kuwa Quran si kitabu cha mafundisho kitu ambacho si kweli,au unataka kusema huamini kwenye Quran yote bali vipengele, na kama hujui dini yako kaa chini tukufundishe vizuri...

  1. The Quran, the last revealed word of God, is the primary source of every Muslim's faith and practice. It deals with all the subjects which concern human beings: wisdom, doctrine, worship, transactions, law, etc., but its basic theme is the relationship between God and His creatures.
 
Mtanzania huyo amekutwa ndania ya chuo hicho na rekodi zinaonyesha si mwanafunzi anaesoma hapo kwahiyo ameshikiliwa kama mshukiwa

ni dhahiri sasa serikali ya tanzania inatakiwa kuwa macho na wimbi hili la watanzania kujihusisha na ugaidi wasije kuturudi wenyewe.

Bbc swahili

Bila shaka wengi wa namna hiyo tunaishi nao na kula nao. Ndiyo wanaochoma makanisa na kuua watu na kuwamwagia tindikali.
 
Bila shaka wengi wa namna hiyo tunaishi nao na kula nao. Ndiyo wanaochoma makanisa na kuua watu na kuwamwagia tindikali.

hata humu jf tunao mfano mzuri ni Ritz na wenzake wakina big show na khataan.
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! Mie nilidhani nikiingia humu angalau nitakuta muafaka wa hili tatizo kumbe humu pia vita inaendelea. Dunia hii ina watu wachache sana wenye akili
 
Mkuu ukienda pale mabibo hostel na ukikamatwa kama wewe sio mwanafunzi una kesi ya kujibu,iwe umeingia kwenye hostel ya chuo kilichopo nchi nyngne na tena mauwaji yametokea na wewe upo hyo tayari ni kesi hata kama angekuwa mkenya raia tu,hivi kenya wawe na nia ya kuaribu utalii wa Tanzania ili iweje?tatizo watanzania tunajiona malaika hatuwezi kufanya maovu lakn kuna watanzania wenzetu waliusika kulipua ubalozi wa marekani tunasahau hilo,huyo jamaa inawezekana kabsa akawa al-shabab au akawa hana hatia lakn tungoje wanausalama wafanye kazi yao

ok i do say this as the caution lets wait an see
 
Sijaelewa unachotaka kukisema hapa. Kwa hiyo kama alikamatwa msichana wa Kitanzania akivuka mpaka kwenda Somalia ili kuolewa na al shabab wewe hukutaka Kenya watoe hizo habari? Je huyo msichana sio Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar?

Hatuna sababu ya kutetea ujinga huu tuache koleo liitwe koleo na kijiko kiitwe kijiko. Kwani hii mara ya kwanza watanzania kujihusisha na Ugaidi? Rejea Watanzania walioshiriki mipango ya kuulipua ubalozi wa marekani. Wengine tunao hapa Jf kama member mwingine alivyosema kina Faiza Foxy, Ally Kombo, Kahtaan, The big show n.k.

Tiba

Hujaelewa nilichosema then umenijibu kama mtu aliyeelewa nilichosema..Inashangazaje!!!!

Hivi unaushahidi gani kwamba hao wadada walikuwa wakienda kuolewa na Alshabab huko Somalia? Na hata kama ni kweli walikuwa wakienda kuolewa na Magaidi Wakenya walikuwa na haraka gani ya kutangaza ati wamewakamata. Washukiwa wa ugaidi bila vielelezo vyovyote?? Kwanini utangaze kukamata Magaidi ambao hata hivyo huna ushahidi nao na tena wanatoka nchi jirani, Iko wapi Diplomasia hapo. Haya sasa wamechafua jina la Tanzania, mbona hawajarudu kulisafisha kwa kuomba radhi kwa kutusingizia?? Jitafakari bibie..!!

Hivi kwasababu kunawatanzania walishawahi kushukiwa na Ugaidi then tukubali tu kila tuhuma ya Ugaidi inayoelekezwa kwetu?? Akili gani hizi? Hivi wewe unajua mpaka sasa wakenya wameathirika kiasi gani kwa Utalii wao kuvurugika kutokana na wao kuendesha mashambulizi huko Somalia?? Wakenya wameshakuja mara nyingi tu kuomba Tanzania kushirikiana na wao kuwatokomeza Alshabab huko Somalia lakini Tanzania imekataa.. Hivi unadhani Wakenya wanafirahi siyo?? Kaa na utambue hakuna Rafiki na jirani mnafki kama Kenya linapokuja suala la Maslahi. Yuko tayari kufanya mbinu yoyote alimradi afanikiwe bila kujari ni kwa mbinu zipi.

Halafu mambo ya kutaja majina ya watu ukiwatuhumu kwa tuhuma kama hizi za ugaidi bila ushahidi ni uchochezu wa waziwazi. Hakuna anayependa kupakaziwa mambo kama haya na ndiomaana sisi wengine tumesema kila tuhuma itakayoelekezwa kwetu sasa tutatimia macho,akili na hisia za ziada. Haipendezi hata kidogo.

BACK TANGANYIKA
 
We ungekuwa na bwana saa hizi una watoto 20 manake unawashwa kila siku.
Tatizo ni ubovu wa sura lako.
Mtoto wa kike una bichwa kubwa ka Tikiti la lushoto? Nani fa.la akutake?

Utaimba kwaya mpaka kufa! Labda walevi km matumbo wakubipu!

Kwa hii mipasho nimehitmisha wewe ni mtoto wa pwani,wewe ni chakula ya watu.
 
My take SiKu tukisema tunapeleka watu sayari nyingine kuanzisha population wasipeleke mtu mwenye dini, aende asiye na dini yoyote ile, Hakuna kitu ambacho kimeua watu wengi kwa pain Kali ka dini.. Zamani sana ilikua wakristo, waliua sana miaka hiyo, siku Hizi ni zamu ya waislamu wanaua ovyo, itafika muda wataacha tu, bad doesn't prevail forever, watadumu miaka kadhaa lakini an end will come, kama Konyi tu ambaye ana zaidi ya 15+ years, siku Hizi wanajisalimisha mmoja baada ya mwingine, there must be something wrong with religion.
 


Usipanic ndugu yangu,.... Kama hujui dini yako vizuri pole sana.... lakini soma vizuri hapa;

  • Slay the unbelievers wherever you find them(2:191)
  • [FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif]Make war on the infidels living in your neighborhood ([/FONT]9:123[FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif])[/FONT]
  • When opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them (9:5)
  • Kill the Jews and the Christians if they do not convert to Islam or refuse to pay Jizya tax (9:29)
  • Any religion other than Islam is not acceptable (3:85)
  • The Jews and the Christians are perverts; fight them (9:30)
  • [FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif]Maim and crucify the infidels if they criticize Islam.[/FONT] (5:33)
  • The infidels are unclean; do not let them into a mosque (9:28)
  • Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods, boiling water; melt their skin and bellies
    (22:19)
  • Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them (47:4)
  • The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them (8:65)
  • Muslims must not take the infidels as friends (3:28)
  • Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Qur’an (8:12)
  • Muslims must muster all weapons to terrorise the infidels (8:60)


Acha kusoma kwa kukariri ww bila kuelewa kiundani...
 
Nikweli kuwa chuoni sio mpaka uwe mwanafunzi, na pia watanzania wengi wanaishi kenya, sema issue ni uraia na labda dini yake ila wasimuhusishe moja kwa moja

Kama yupo mtanzania aliyeshiriki mauaji haya ametutafutia laana sana.ashughulikiwe ipasavyo na tutoe ushirikiano kwa Kenya
 
Nikweli kuwa chuoni sio mpaka uwe mwanafunzi, na pia watanzania wengi wanaishi kenya, sema issue ni uraia na labda dini yake ila wasimuhusishe moja kwa moja
Huyu mtanzania ashughulikiwe na vyombo vya usalama Kenya
 
Kwa wale makafiri wanaojaribu hapa kuonyesha na kutafsiri aya za Quran ni sawa mtu anayejua kusoma na kuandika ambaye anaisoma sheria fulani na kuitolea tafsiri. Ni ujinga kuamini kuwa dini ya Kiislam inaamuru kuwaua wasio Waislam. Aya mnayoitafsiri humuijui maana yake. Aya za Kiislam zilitoka wakati wa tukio fulani,na aya hiyo ya kuwaua wasioamini ilishuka wakati wa vita vya makafiri na waislam,na ni makhsusi pale nyie makafiri mnaposhambulia waislam ni lazima tuwaue,tusipowaua mtatuua ndiyo maana ya vita. Uislam hauna uadui na asiye ufanyia uadui. Msitafsiri aya za Quran bila kuwa na ufahamu. Mimi ni Muislam siungi mkono mashambulizi ya magaidi kwa watu wasio na hatia. Nyie mnaotafsiri Quran,je makanisa yenu yanafungisha ndoa mashoga tuamini kuwa Yesu alikuwa mtoto si riziki(shoga)? This crazy world kila vioja vitatokea kama hao magaidi,kina Konny,maaskofu wanaofungisha ndoa ------- na wasagaji makanisani. Si vyema kutukana dini za watu bali watukanwe watendao mabaya

Sasa mbona wewe umetukana badala ya kuelimisha? maustaadh wangapi wanalawiti watoto wa madrasa au wewe hukuliona au kusikia? tuelimishe badala ya kujenga chuki.
 
Hapa Tanzania kuna uwezekano wa uwepo wa watu wa aina hiyo wengi sana, wanakosa tu fursa ya kufanya hivyo... wewe hata huku JF huwaoni comment zao? Dini inafundisha kuua kwa niab ya Mungu? Dini au jini? nikiangalia watoto waliojaa mustakabali walivyouwawa kwa sababu ya imani ao roho inaniuma sana..hao watoto wamewakosea nini? mijitu mioga sijawahi ona.....

Ni laana kumfuata Muddy
 
Sijatukana Mchungaji ukisoma mantiki ya thread yangu utaielewa tu,wala sijasema ukiristo unaruhusu ushoga ila nimeonyesha hii generation tulionayo sasa na vituko vyake na ndio maana nikatoa mifano ya magaidi,Konny na mapadri wanaozesha mashoga. Hio ndio point yangu. Watz tujifundishe kusoma kitu na kuelewa sio kukimbilia tu kujibu
Sasa mbona wewe umetukana badala ya kuelimisha? maustaadh wangapi wanalawiti watoto wa madrasa au wewe hukuliona au kusikia? tuelimishe badala ya kujenga chuki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom