Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

Status
Not open for further replies.
mirisho pm,
Hakuna Mtz anayetetea muuaji kisa tu ni Mtz mwenzetu, sisi tuna ongea uhalisia hapa.
Halafu kwani ukimuua ndo unamaliza au kupunguza tatizo, yaani inamaanisha hamjui mpaka saivi mnatakiwa mpandane na ideology na sio watu, haujui hata adui yako hasa ni nani, mkiendelea kuua ovyo ovyo mtakuwa mna tofauti gani kati yenu na hao Al Shabab sasa?
Leo nimeona documentary moja ya Al Jazeera kutoka thread nyingine humu JF kuhusu wakenya wa northern part, "not yet Kenyan", nikiangalia na hii mentality yako jibu ni moja, hamta pata ushirikiano kutoka jamii ya ki Somali hadi mjirekebishe na ubaguzi wenu kijinga.
Inasikitisha kuona Kenya ina idadi nzuri ya wasomali ila imeshindwa kupandikiza hao watu huko Somalia kuweka mambo sawa.
Endelea sasa na ideology yenu ya kibaguzi halafu tuone mtafika wapi
You nailed bro.
 
Sijaelewa unachotaka kukisema hapa. Kwa hiyo kama alikamatwa msichana wa Kitanzania akivuka mpaka kwenda Somalia ili kuolewa na al shabab wewe hukutaka Kenya watoe hizo habari? Je huyo msichana sio Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar?

Hatuna sababu ya kutetea ujinga huu tuache koleo liitwe koleo na kijiko kiitwe kijiko. Kwani hii mara ya kwanza watanzania kujihusisha na Ugaidi? Rejea Watanzania walioshiriki mipango ya kuulipua ubalozi wa marekani. Wengine tunao hapa Jf kama member mwingine alivyosema kina Faiza Foxy, Ally Kombo, Kahtaan, The big show n.k.

Tiba
Mbona hawakuwa wakisema wale wasichana wengine wawili ni wakenya? Wewe ulikuwa unajua hivyo? Point ni kwamba Kenyans would do anything to tarnish Tanzania's image regardless of whether it is true or not. Mbona hawakuja kutangaza kwa nguvu kuwa yule msichana sio gaidi kama walivyotangaza kukamatwa kwake? Wewe ni mtanzania kweli?
 
Mkuu heshima kwako,
Kwanza hatuwezi kuzungumzia Ideology ya ubaguzi kwenye vita, hao alshaabab wameshabagua tayari, Yes. wakenya walifanya makosa makubwa kuwauzia wasomali plot kubwa sana kwa sababu ya pesa walizokuwa wanatoa.
Kusema kwamba tukiua tutaua wangapi..hakuna alternative, Jihad wanauwawa ili kutuma ujumbe kwa wenzao kutochezea maisha ya wenzao, Kenyan Christians and all over the world ni wavumilivu sana ndio maana unaona wala waislam hawajaguswa popote wala kubaguliwa, unaweza sema ni lini wakristo wamewapiga au kuuwa watu kwa sababu ya dini yao? Umewahi kusikia neno moderate christian? na je moderate muslims? Tanzania kuna moderate na Fundamentalists, the extremists na hao ndio hawataki hata kusikia BAKWATA na ndio mstari wa mbele kudai Sharia law kwenye katiba yenu kwa mgongo wa mahakama ya kadhi.... hizi ideology bunduki tu ndio jibu tosha... bullets never lies with this non senses.
You are delusional. The mighty US has failed on that frontier and you with those few imported bullets expect to win an ideological war?!! May be this is exactly the mentality of Kenyan leaders in charge of counter terrorism and that is why they can't and will never win this unless they change the way they think.
 
Mbona hawakuwa wakisema wale wasichana wengine wawili ni wakenya? Wewe ulikuwa unajua hivyo? Point ni kwamba Kenyans would do anything to tarnish Tanzania's image regardless of whether it is true or not. Mbona hawakuja kutangaza kwa nguvu kuwa yule msichana sio gaidi kama walivyotangaza kukamatwa kwake? Wewe ni mtanzania kweli?

Naogopa kuendelea kubishana na wewe na asante kwa kuhoji utaifa wangu lakini ukweli lazima usemwe hadharani na bila kupindishwa. Kwa taarifa yako mimi si mtu wa kukaririshwa maneno, I think by myself.

Tiba
 
Mkuu ukienda pale mabibo hostel na ukikamatwa kama wewe sio mwanafunzi una kesi ya kujibu,iwe umeingia kwenye hostel ya chuo kilichopo nchi nyngne na tena mauwaji yametokea na wewe upo hyo tayari ni kesi hata kama angekuwa mkenya raia tu,hivi kenya wawe na nia ya kuaribu utalii wa Tanzania ili iweje?tatizo watanzania tunajiona malaika hatuwezi kufanya maovu lakn kuna watanzania wenzetu waliusika kulipua ubalozi wa marekani tunasahau hilo,huyo jamaa inawezekana kabsa akawa al-shabab au akawa hana hatia lakn tungoje wanausalama wafanye kazi yao
Kwa hiyo ukikamatwa na ukiwa na kesi ya kujibu ndio ushakuwa gaidi?! Halafu you are so naive eti Kenya iharibu utalii wa Tanzania ili iweje inabidi urudi darasani ukajifunze ubepari ni nini na pia jifunze historia ya mahusiano ya kiuchumi baina ya Tanzania na Kenya.

Shida ya hii nchi kila mtu expert dah!
 
Naogopa kuendelea kubishana na wewe na asante kwa kuhoji utaifa wangu lakini ukweli lazima usemwe hadharani na bila kupindishwa. Kwa taarifa yako mimi si mtu wa kukaririshwa maneno, I think by myself.

Tiba
Unaogopa nini? Ukweli upi? Ukimkamata mtanzania kwenye eneo la tukio ndio ghafla anakuwa gaidi?! Sio sisi tunaolalamikia policcm kila siku humu?
 
Unaogopa nini? Ukweli upi? Ukimkamata mtanzania kwenye eneo la tukio ndio ghafla anakuwa gaidi?! Sio sisi tunaolalamikia policcm kila siku humu?

Please refer to my last post, I do not have time to argue with you. Just leave me alone.

Thanks.

Tiba
 
You are delusional. The mighty US has failed on that frontier and you with those few imported bullets expect to win an ideological war?!! May be this is exactly the mentality of Kenyan leaders in charge of counter terrorism and that is why they can't and will never win this unless they change the way they think.

My Friend I'm not delusional as you may perceive, who told you that US has failed to fight terrorists is laughing you at your back, US is very strategic in fighting these impotent creatures, and FYI have you heard any other event with success in US apart from Sept 11?

Do you want to justify these religion extremists monkeys activities for ideologies? so we should not fight them because the war will never end? talking of the imported bullets, yes, so Alshabab are so smart to make bullets , right? are you kidding me?

Let me add something for you and the public that, Terrorism is the current global issue, and it need global support, and no one is safe, closing the door and look through the window wont make us safe for long time,terrorists have thousands reasons to justify their barbarism to the world..we should join the world fighting this Global crisis.
 
Fighting terrorism I agree, Basing your fight on your bigoted racist nature NO thank you. And yes terrorism is an ideology and you do not defeat an ideology by a bullet. Get that in your head.

To answer your few questions, Yes there was Boston marathon incident after 9/11 in case you missed it. And even if US won they didn't by using the bullet they changed their foreign policy, if you are following US politics you would know that Obama promised to shut down Guantamo bay, pull troops out of Afghanistan and Iraq and he is doing just that.

Alshabab don't make bullets but they can produce people who do not need bullets to kill you especially if those people can dwell freely among the general population. If you are reasonable enough you would by now that Kenya's biggest challenge to counter alshabab is the fact that these guys can mingle freely in Kenya. So go figure.
 
Sijaelewa unachotaka kukisema hapa. Kwa hiyo kama alikamatwa msichana wa Kitanzania akivuka mpaka kwenda Somalia ili kuolewa na al shabab wewe hukutaka Kenya watoe hizo habari? Je huyo msichana sio Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar?

Hatuna sababu ya kutetea ujinga huu tuache koleo liitwe koleo na kijiko kiitwe kijiko. Kwani hii mara ya kwanza watanzania kujihusisha na Ugaidi? Rejea Watanzania walioshiriki mipango ya kuulipua ubalozi wa marekani. Wengine tunao hapa Jf kama member mwingine alivyosema kina Faiza Foxy, Ally Kombo, Kahtaan, The big show n.k.

Tiba

Hivi karibuni kabisa ni tukio la mapango ya amboni ambayo tumekiri kuwa kulikuwa mapambano na vyombo vya usalama na magaidi. Hoja nzito ni kuwa tukubali kuwa Tanzania haiwezi kuwa kisiwa ktk hii dunia ya machafuko. Tena kitendo cha kujitangazia kuwa tuu kisiwa cha amani ni hatari zaidi maana tunawaalika watu wabaya kuja humu na kuaandaa mabaya yao na sasa kutumia hata watoto wetu wakati sisi tumelewa amani hewa. Amani hewa itafanya hata udadisi mdogo tu wa kawaida uliokiepo enzi za vita vya ukombozi wa kusini mwa Afrika utoweke.
Mgeni ilikuwa anakaribishwa baada balozi nyumba kumi kuhusishwa. Hivi kweli judo na karate visemwavyo ni sehemu za ibada???? Hali ya religious tolerance nchini inashughuliwa ipasavyo???
Ajira ya vijana jee?? Je umri wa kustaafu miaka 60 ni ujumbe gani kwa vijana kama sio chanzo cha unemployment rocketing high.

Wazee angalieni kama hamtakuja kulaumiwa!!
 
Fighting terrorism I agree, Basing your fight on your bigoted racist nature NO thank you. And yes terrorism is an ideology and you do not defeat an ideology by a bullet. Get that in your head.

To answer your few questions, Yes there was Boston marathon incident after 9/11 in case you missed it. And even if US won they didn't by using the bullet they changed their foreign policy, if you are following US politics you would know that Obama promised to shut down Guantamo bay, pull troops out of Afghanistan and Iraq and he is doing just that.

Alshabab don't make bullets but they can produce people who do not need bullets to kill you especially if those people can dwell freely among the general population. If you are reasonable enough you would by now that Kenya's biggest challenge to counter alshabab is the fact that these guys can mingle freely in Kenya. So go figure.

You nailed it well brother, but you miss something, you want the whole world to surrender to terrorists for that?
Are you even aware that what they need today they will need more tomorrow
Who in hell have put hands up for cowards?
Do you think their tactic of killing defenseless people will work for long?
 
Hebu tuzinatie kabla ya kubwata , Yule pilot wa ndege ya ujerumani alieuwa watu 150 karibuni alikuwa dini gani ? wemeanza kusema ana upungufu wa akili - hii ni dhahiri yoyote anaewa watu hovyo akili yake ina ulakini hata hao Al Shabab
Tusihusishe dini na ugaidi , Wanaouwawa na hizi harakati za kigaidi wengi wao ni waislamu na hawa magaidi wanaojiita waislamu ndio wanawadhuru
Ukingalia vyanzo vya hizi harakati zakigaidi chanzo chake ni vyombo vya usalama vya magharibi kwa niya ya kuwatumia kwa maslahi yao, baadae wanageukana - kama Osama/Alqaida na CIA , na vingine vingi .
 
You nailed it well brother, but you miss something, you want the whole world to surrender to terrorists for that?
Are you even aware that what they need today they will need more tomorrow
Who in hell have put hands up for cowards?
Do you think their tactic of killing defenseless people will work for long?

No I don't want the whole world to surrender rather I want us to face reality. If anything I want the perpetrators to be brought to justice but at the same time we shouldn't turn a blind eye on the root causes of the problem which might differ from a place to a place. These guys have claims, we should accept they have claims and sit down to analyze why they claim what they claim and the best diplomatic way to deal with their claims. Because in the end it doesn't really matter whether what they claim is true or wrong as long as they believe it and at the same time believing that killing innocent people is the only way to achieve their goals.

Otherwise we are preparing ourselves to keep condemning future murders of innocent people and then followed by retaliation which will kill more terrorists leading to creation of more terrorists who will keep committing murders and the cycle continues. It is a vicious cycle and I don't think it is what we want, do you?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom