Babu njoo huku kusini mwa tanzania ingia vijijini nunua mkaa wa kwenye viroba peleka dar kwenda kuuza inalipa sana ila mwanzo maliasiri watakusumbua ila ukiwazoea hawakunyimi usingizi
Usafiri tu kutoka kusini mpaka Dar ni zaidi ya hiyo milioni
Babu njoo huku kusini mwa tanzania ingia vijijini nunua mkaa wa kwenye viroba peleka dar kwenda kuuza inalipa sana ila mwanzo maliasiri watakusumbua ila ukiwazoea hawakunyimi usingizi
invest kwenye dawa za nguvu za kiume.... atapiga hela mpaka atachoka mwenyewe..
Kama anaweza kupata dereva wazuri anunue pikipiki aongezee kama laki nne anunue pikipiki 2. Aingie mkataba na dereva kwa miezi kumi awe anamletea 10,000 kila siku. Ikifika miezi hiyo pikipiki inakuwa ya dereva. hadi itakapofika miezi kumi atakuwa ameingiza pesa ya pikipiki mbili kwa kila pikipiki so anaweza kuendelea na kununua pikipiki nne.
Me nimefanya hiyo na ninaendelea sio biashara mbaya kama unapata madereva makini
Hlili bonge la PlanInategemeana na maeneo alipo, lakini hata kama ni mjini au kijijini anaweza kujikita katika ulanguzi wa mazao ya nafaka. Subiri msimu wa uvunaji kisha nunua mazao ya nafaka hasa maharage na mchele kisha weka stoo, kuwa mvumilivu kwakipindi cha miezi michache halafu uza kwabei ya juu. Angalizo nikwamba kama umenunua maharage hakikisha kuwa umeweka dawa yakuzuia wadudu wabunguzi. Au pia waweza nunua mazao hayo yanafaka vijijini yanapolimwa nakuyasafirisha mjini nakuuza kwa bei kubwa kidogo, ila unachotakiwa nikubalansi pesa ya nauli ya mzigo pamoja namengineyo. Ukiwa siriasi kwakipindi cha miaka miwili utakuwa namtaji maranyingi kidogo zaidi ya huo ulionao.
Hapa napo patamMe namshauri atafute site nzuri then afungue mabanda ya chips, kwa haraka haraka anaweza kunufungua magoli matatu na kila moja atatumia kama laki tano hiv.
Mlipo ni kukubaliana na wauzaji ,kwa mwanzo inaweza kuwa 15,000.00 kwa siku.Maana yake ni chipsi yai sita na kavu moja.A angalie pesa yake asikabane nao ili apate faida kwa haraka.
Moja na nusu ilyobaki soma upepo kwani katika investment hutakiwi kuweka yoote.likibuma utachanganyikiwa mkuu.ni hayo tuu
Me namshauri atafute site nzuri then afungue mabanda ya chips, kwa haraka haraka anaweza kunufungua magoli matatu na kila moja atatumia kama laki tano hiv.
Mlipo ni kukubaliana na wauzaji ,kwa mwanzo inaweza kuwa 15,000.00 kwa siku.Maana yake ni chipsi yai sita na kavu moja.A angalie pesa yake asikabane nao ili apate faida kwa haraka.
Moja na nusu ilyobaki soma upepo kwani katika investment hutakiwi kuweka yoote.likibuma utachanganyikiwa mkuu.ni hayo tuu
Fafanua vizuri hapa mkuu kwamba utakusanyaje pesa kwa mchomaji na utamlipaje yaan mnakubaliana hela utakayo mlipa kwa siku? au naje usipouza? nimeipenda hii
Idea imesimama sana mkuu.5 - tafuta mtu muaminifu aliyeko mwanza au ukerewe au unaweza kwenda mwenyewe kuchukuwa aina mbalimbali za samaki wanaopataikana huko kwa bei nzuri na kuja kuuza huko unakoishi. Unaweza kununua bidhaa kama nguo, viatu na urembo katika miji mikubwa kama Dar na kuuza huko (mwanza na ukerewe) wakati unaenda kununua samaki (hivyo utakuwa unaua ndege wawili kwa jiwe moja).