Nashukuru kwa ushauriTafuta eneo zuri kwa biashara ya viatu vya kike na kiume
Kisha safiri hadi mwanza mtaa ya Lumumba kuna maduka mengi ya jumla ya viatu ya kike na kiume na wanauza kwa bei ndogo sana fika pale chagua viatu vizuri nenda zako shinyanga kapige kazi ukichukuwa mzigo wa laki 3 mkubwa kabisa
Sogea hapa Shaibushi Corner Bar ukiwa na hicho kibunda. Labda tuyatete huku pembezoni tukizungukwa na tuhaya, huenda tukapata wazo kwa pamoja