Nmepewa shiling milion moja pamoja na frem ya biashara , naomben ushaur nifungue biashara gan???
huyu i tapeli, jihadhari nae. chochote atakachokwambia njoo kwanza ukiweke hapa kabla hujatoa pesa yako, kinyume na hapo utakuja kuanzisha thread ''nimetapeliwa na mwanajf"Ni PM nikupe mawazo ya kukutoa
kabeti kwa muhindi
Ushawai kufanya biashara yyte
kwanza angalia mahali ulipo kuna tatizo gani ? kwa mfano hapo ulipo kama kuna tatizo la maji basi unabadilisha tatizo hilo kuwa mradi wako, hii ni hatua ya kwanza ya wewe kupata wazo la biashara ukimaliza kupata wazo la biashara unafuata hatua ya pili ya kufanya maamuzi ambayo yanaweza kubadili maisha yako na wakati unaingia kwenye biashara yako kichwani kwako uwe na wazo la kwamba si kwamba unahitaji kuwa na utajiri wa haraka fikiri kuwa Uvumilivu ndio kinga ya Biashara yako. Ngoja nikupe mifano ya miradi ya kufanya 1. kununua na kuuza mikoba ya kinamama. 2. chipsi mayai na nyama choma hapa unakuwa na zaidi ya vijiwe vitatu kwa fedha yako hiyo na hata unaweza kwenda mbali kwa kuanzisha mradi wa MOBILE VENDING CHIPS.... 3. Kuanzisha huduma ya kukopesha kinamama wajasiliamali eneo ulipo ni hayo tu