Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Una raha sana we kijana. Yaan 10m net mkononi hata bila jasho. Anyway tulia utafakari kama msomi aliyetoka chuo kikuu tena aliyesomea uhasibu. Chukua ushauri wa watu halafu changanya na akili zako. Kumbuka kuleta mrejesho hapa
 
hongera mwenzetu, nenda udzungwa- Mang'ula kodi shamba panda mpunga utatumia kiasi kidogo cha pesa kama laki 2 hivi, badae utavuna magunia mengi kama mambo yataenda poa, tafuta soko uuze kwa jumla, laki 2 itakupa faida, kuhusu usafirishaji utajua baadae kama mnunuzi anasafirisha mwenyewe au unasafirisha wewe, utapigia mahesabu, gharama ya usafirishaji accordingly.

ila ndugu yangu am very serious plz nikopeshe kama laki 4 au 5, nitakurudishia miezi ya mbele hapo plz plz
 
mpunga wa kukukopesha bado haujatoka hadi amalize chuo mwezi wa saba.

hapo dada changamka mapema
 
hongera mwenzetu, nenda udzungwa- Mang'ula kodi shamba panda mpunga utatumia kiasi kidogo cha pesa kama laki 2 hivi, badae utavuna magunia mengi kama mambo yataenda poa, tafuta soko uuze kwa jumla, laki 2 itakupa faida, kuhusu usafirishaji utajua baadae kama mnunuzi anasafirisha mwenyewe au unasafirisha wewe, utapigia mahesabu, gharama ya usafirishaji accordingly.

ila ndugu yangu am very serious plz nikopeshe kama laki 4 au 5, nitakurudishia miezi ya mbele hapo plz plz

Mkuu si bado hajamaliza chuo amesema akimaliza ndio anakabidhiwa hilo fungu kiongozi..............teh teh.
 
hongera mwenzetu, nenda udzungwa- Mang'ula kodi shamba panda mpunga utatumia kiasi kidogo cha pesa kama laki 2 hivi, badae utavuna magunia mengi kama mambo yataenda poa, tafuta soko uuze kwa jumla, laki 2 itakupa faida, kuhusu usafirishaji utajua baadae kama mnunuzi anasafirisha mwenyewe au unasafirisha wewe, utapigia mahesabu, gharama ya usafirishaji accordingly.

ila ndugu yangu am very serious plz nikopeshe kama laki 4 au 5, nitakurudishia miezi ya mbele hapo plz plz

Asante kwa ushauri...kk nikianza kukopesha kabla hata sijafanyia hiyo hela kazi c ntajimalizaa
 
Una raha sana we kijana. Yaan 10m net mkononi hata bila jasho. Anyway tulia utafakari kama msomi aliyetoka chuo kikuu tena aliyesomea uhasibu. Chukua ushauri wa watu halafu changanya na akili zako. Kumbuka kuleta mrejesho hapa

asante kk ...nikifanikiwa nitaleta rejesho
 
hongera mwenzetu, nenda udzungwa- Mang'ula kodi shamba panda mpunga utatumia kiasi kidogo cha pesa kama laki 2 hivi, badae utavuna magunia mengi kama mambo yataenda poa, tafuta soko uuze kwa jumla, laki 2 itakupa faida, kuhusu usafirishaji utajua baadae kama mnunuzi anasafirisha mwenyewe au unasafirisha wewe, utapigia mahesabu, gharama ya usafirishaji accordingly.

ila ndugu yangu am very serious plz nikopeshe kama laki 4 au 5, nitakurudishia miezi ya mbele hapo plz plz

Hiyo laki mbili hata kukodisha shamba ekari moja haitoshi, acha kumdanganya dogo,
 
Wadau mimi ni mwanafunzi wa IFM mwaka wa tatu, namaliza bachelor degree in accountancy mwezi wa 6, mzee wangu kanipa ofa ya 10m as capital nikimalza chuo.

Sasa nawaza, sijawahi kufanya biashara yoyote kwa hiyo sina experience swali langu kwenu nyie wadau nitafanya biashara gan na hiyo hela??? Au bora nitafute ajira tu?

kama kweli nitafute mara baada ya kupewa hizo milion 10,simaanishi uje nazo kwangu cash
 
Wewe umefikiria unajisikia kufanya biashara gani kwanza...au unapendelea kuwa unajihusisha na nini kisichokuboa au kukufanya utingishwe kichwa kutaka kukimbia.
 
upo mkoa gani??? Hiyo hela ni nyingi ukitulia na utaweza kufanya vizuri sana. Japo kujiajiri kuna changamoto zake kubwa ila utavumilia. Nakushauri usianze biashara na pess zote. Anza na robo ya hizo kulingana na biashara utakayochagua
 
biashara inategemea na eneo ulilopo kama bidhaa unayoweka inaitajika na watumiaji wengi
 
Ni biashara ip ya tofaut na zlzozoeleka mtaani unahc inaweza kunitoa ukilnganisha na mtaj nlionao?? tethering
 
Last edited by a moderator:
fanya utafiti kulingana na mazingira uliyopo na usitegemee wana JF tukwambie fanya hiki au kile wakati hatujui fursa zinazokuzunguka
 
Back
Top Bottom