MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,048
- 1,102
Umependa kitu gani wewe kupe? Usiwe kama mzoga wa fisi.Mkuu lete ingine hii nimeipenda..

Mkuu Nakei,
Ni kweli nakubaliana na wewe kwenye hii thread yako katika suala la uchumi Chadema siku zote uwa sio sera yao sera yao kuu ni ufisadi na maandamano yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Hata ukiwasikiliza viongozi wao wa juu kama Slaa, Mbowe, siku zote uwa wanajikita zaidi kwenye suala mmoja tu Fisadi ndio sera yao kuu huwezi kusikia wanaelezea jinsi watakavyowasaidia wa Tanzania kiuchumi.
Ukimsikiliza Mbowe maneno yake ni yale yale...Mpaka kieleweke, Hakuna kulala,Pipoz pawaa, Maandamano nchi nzima.
Slaa, nae maneno yake yale kila siku...Tutafanya nchi isitawalike, Ufisadi, Naipa serikali siku tatu, Tutandamana nchi nzima.
Kwenye suala uchumi kwa Chadema hakuna kitu.
Post yako ulianza vizuri sana kwa kujenga hoja lakini kuanzia kwenye red ukaja personal imeharibu kila kitu nakuambia hutapata jibu la maana zaidi ya kurushiwa madongo.Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.
Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.

mtoa mada, wahi Milembe ukatibiwe
una makengeza
nimekuwa nikifuatilia kampeni za chadema pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa tz, wimbo mkubwa wa chadema ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa chadema au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia ufisadi sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka chadema watuambie wataboreshaje maisha ya mtanzania. Embu ona mtu kama edwin mtei ambaye ndie mlezi wa chadema, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.
Vijana wengi wa tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri chadema wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na chadema.
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.
Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.
Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.
ukienda kwenye majimbo yao ndio bure kabisa...ukienda Arusha jimbo la Lema hakuna cha maana alichofanya,muda wote wa ubunge alikuwa anafanya maandamano na akikesha kuombea watu waliokufa wafufuke..
Huwezi kutawala nchi bila mipango ya kiuchumi hata siku mmoja...nakumbuka Slaa alishawahi kusema siku mmoja kwenye sera yake ya uchumi wakati wa kampeni za urais kuwa Chadema wakichukuwa nchi mfuko wa Saruji mmoja utauzwa Sh5000 lakini hakuonyesha njia atafanyaje mpaka hiyo bei ishuke.
nyie Vinega mnamatatizo sana,badala ya kujibu hoja mnaleta matusi.
duuuu hali ni mbaya inamaana hata huyu naye alitaka kuwa mbunge!??