Mtaalamu wa uchumi (CCM) apigia chapuo sera ya CHADEMA ya serikali ndogo

Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.

Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.

images
 
una makengeza
 
Yaani ww ni hewa!

Huyu bwana ni hewa hasa. Ana wasiwasi na Chadema, na anaona hilo ni tatizo kubwa kuliko uhakika wa wizi ulipo ccm. akili kama hii inakatisha tamaa kabisa... hivyo tubaki na wizi kuliko kujaribu chama kingine... hapa unaona kweli elimu yetu ya kukremishwa haitusaidii kabisa....pole tanzania!!!!
 
Mkuu Nakei,
Ni kweli nakubaliana na wewe kwenye hii thread yako katika suala la uchumi Chadema siku zote uwa sio sera yao sera yao kuu ni ufisadi na maandamano yasiyokuwa na tija kwa taifa.

Hata ukiwasikiliza viongozi wao wa juu kama Slaa, Mbowe, siku zote uwa wanajikita zaidi kwenye suala mmoja tu Fisadi ndio sera yao kuu huwezi kusikia wanaelezea jinsi watakavyowasaidia wa Tanzania kiuchumi.

Ukimsikiliza Mbowe maneno yake ni yale yale...Mpaka kieleweke, Hakuna kulala,Pipoz pawaa, Maandamano nchi nzima.

Slaa, nae maneno yake yale kila siku...Tutafanya nchi isitawalike, Ufisadi, Naipa serikali siku tatu, Tutandamana nchi nzima.

Kwenye suala uchumi kwa Chadema hakuna kitu.
 
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.

Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.

Ulitegemea kusikia uhuru fm,tbc taifa au clouds fm?inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwepesi kwa head,jaribu kutafuta sera za cdm through mtandao au kijitabu chao ndio ujue kama kuna uwezekano wa cdm kuweza kuinua uchumi wa nchi au lah,na hata hivyo utahitaji kuchemsha kichwa sana ili uweze pata mwanga juu ya ilo maana unaonekana ni mwepesi mno!kwa kukusaidia hata suala la majimbo ni moja ya wazo la kukuza uchumi kimajimbo!
 
Mfano mmoja wapo ni Hoja ya mkonge ambayo nyie mliikataa kwa ushabiki wa kisiasa....
 
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.

Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.
Kwa taarifa yako ufisadi ndiyo ugonjwa mkuu wa Taifa letu. Unataka uniambie hujajua kwamba hakuna sera yeyote ya kiuchumi inaweza kufanikiwa mahala penye ufisadi??? Mimi kama mimi ninaamini CCM wana sera nzuri lakini Tatizo kubwa ni watendaji hakuna wote ni wachumia tumbo. Hebu niambie sera ya Kilimo kwanza kwani ni mbaya? tatizo ni ufisadi pale mtu anapojiongezea ghalama za Power tillers, kuiba mbolea...nk. Sera kama Sera hata CCM sera zao ni nzuri tuu tatizo ni kwamba wameshindwa kuzisimamia ndiyo maana tunatakiwa kubadirisha mfumo mzima. Hivi hujawahi kujiuliza ni kwanini watu wanachakachua matokeo ili waendelee kukaa ikulu? Hivi kwanini hujiulizi watu hawataki katiba mpya?
 
Je uliwahi kuhudhuria kampeni za CDM mwaka 2010? ok bajeti iliyopita ulisikiliza BUNGE? je kwenye kampeni za Arumeru hicho chama chako CCM kilisema jambo gani la kuboresha maisha au ndio yale matusi ya lusinde yanainua uchumi? KUWA MAKINI tupo busy now ktk M4C
 
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.

Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.
Inawezekana unamasikio lakini hutaki kusikia au una macho lakini hutaki kuona
Kuhusu uchumi chadema hawapo nyuma, hii ni sehemu ya kile wanachokipigania kwa mujibu wa ilani yake ya 2010-2015

CHADEMA itafanya nini kuboresha na kuimarisha uchumi?

Ili kuimarisha na kuboresha uchumi, Serikali ya CHADEMA itaweka mkazo katika mambo yafuatayo:
Kubana matumizi ya serikali kwa kuachana na matumizi ya anasa na yasiyo naumuhimu kwa taifa kama msusuru wa magari ya maafisa, warsha, makongamanona safari zisizo za lazima na kuunda serikali ndogo inayozingatia tija ya matumiziya fedha,ufanisi na utendaji. Katika kupunguza matumizi ya serikali, CHADEMA itafanya yafuatayo:

1. Itapunguza mishahara na posho za viongozi wote wa juu wa kisiasa kuanzia Rais,hadi wakuu wa mikoa kwa asilimia 20. Mishahara na posho za wabungezitapunguzwa kwa asilimia 15 huku mishara na posho ya watendaji wote nawakuu wa mashirika na taasisi za umma itapunguzwa kwa asilimia 15.

2. Kupunguza safari ndefu za nje za Urais,Ukiondoa safari za Baraza la Umoja wa Mataifa ambapo ni nafasi ya kukutana nakufahamiana na viongozi wengine duniani na za nchi majirani zetu, safarinyingine zote zitafanywa na viongozi wengine na kwa utaratibu utakaozingatiamaslahi ya nchi, gharama, na faida inayopatikana kwa safari husika.

3. Misafara yote ya viongozi wa juu wa serikali na taasisi zake zitawekewa utaratibuili kuhakikisha kuwa ni watu wale tu wanaotakiwa kuwepo kwenye ziara hizowanashiriki. Lengo ni kuhakikisha kuwa ziara za kiserikali hazitumiki kama mitaji ya posho.

Posho

Kutokana na ukweli kuwa serikali imekuwa ikitenga kiwango kikubwa sana chafedha katika posho ni muhimu serikali mpya kubadilisha utaratibu huo ilihatimaye kuinua mishahara ya watumishi wa umma. Kwa mfano, serikali yaCCM katika mwaka 2008/2009 ilitenga zaidi ya shilingi bilioni 509 (zaidi ya nusuTrilioni) kwa ajili ya posho mbalimbali. Hii ni sawa na malipo ya mwaka mzima ya walimu zaidi ya 109,000! Taarifa zinaonesha kuwa Ofisi ya Rais ndiyo inaongoza kwa posho hizo ikijigawia zaidi ya shilingi bilioni 148 kwa mwaka 2009/2010

Semina, warsha na mafunzo
Serikali ya CHADEMA itaweka utaratibu ili semina, warsha na mafunzo katika taasisi mbalimbali za umma yanafanyika ndani na katika wakati wa kazi na bila uwepo wa posho maalum za "vikao za siku". Mafunzo au mikutano yoyote itakayofanyika nje ya vituo vya kazi itahesabiwa ni sehemu ya kazi na serikaliitalipia na kurudisha gharama za safari, hoteli na posho ya kujikimu. Utaratibu mkali wa kisheria utawekwa ili kuzuia ulaghai wa aina yoyote na kuhakikishawale wote (wafanyakazi na watoa huduma) watakaoshiriki kuiibia serikali kwanyaraka au risiti za uongo wanachukuliwa hatua mara moja ikiwemo kuachishwa ajira. Lengo ni kupunguza posho hizi kwa zaidi ya asilimia 80 zikiendana na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma kuendana na ujuzi, nafasi, navyeo vyao kazini. Tunataka wafanyakazi wetu walipwe kwa haki kwa kile wanachofanya kwa haki.

Mapato yatokanayo na Kodi
Kupanua wigo wa mapato yatokanayo na kodi, ikiwemo kufuta misamaha holelaya kodi isiyolenga katika kuboresha na kukuza uchumi. Kodi zote za bidhaa nahuduma zitakazotozwa nchini zitakuwa na lengo moja kubwa nalo ni kuipatiaserikali mapato.

Kilimo
Kuchochea ukuaji wa kilimo cha kisasa, kibiashara na bora. Kimsingi kilimokitaboreshwa na kutumika kama daraja la kuingia kwenye uchumi wa viwanda nahuduma wenye fursa nyingi na tija (tazama maelezo zaidi katika sura inayohusukilimo). Serikali itawaruhusu wakulima kuuza mazao ndani na nje ya nchi ili kujiongezea kipatona kuchangia zaidi katika pato la taifa.

Madini na rasilimali asilia
Serikali kuingia moja kwa moja katika utafutaji na uvunaji wa madini pamoja na raslimali zingine asilia kwa kushirikiana na makampuni ya kitaifa na kimataifa ili kuhakikisha kuwa nchi inafaidika na raslimali za taifa. Katika kila mkataba serikali itaingia ubia na sekta binafsi, iwe ya nje au ndani, na itahakikisha inahodhi sichini ya asilimia 50 ya umiliki wa hisa.

Serikali ya CHADEMA itaanzisha mfuko wa madini utakaotokana na mapato yatokanayo na madini. Mfuko huu utatunzwa katika benki kuu kwa muda wotewakati wa upatikanaji wa madini na utakuwa ni akiba na kumbukumbu ya raslimali kwa ajili ya matumizi ya vizazi vijavyo. Thamani ya madini yote kablaya kuuzwa nje ya nchi yatapita benki kuu na kuthaminiwa thamani yake, kamaakiba ya fedha za taifa.

Uanzishwaji wa viwanda vidogovidogo vinavyotoa ajira kwa wingi.
Ilikufanikisha hili:Serikali ya CHADEMA itaanzisha mfumo wa utoaji wa elimu yakufundisha wajasiriamali kupitia vyuo vya ufundi, Benki teule zitapewa motisha na masharti ya kukopesha wazalishaji na wenyeviwando vidogovidogo.

Upanuaji wa Bandari
Ili kupunguza msongano katika Bandari ya Dar es Salaam, sambamba na kuifanyaDar es Salaam ipumue, tutaimarisha bandari za Mtwara na Tanga kwa kuzifanyazifanye kazi kibiashara na kwa kuzingatia maslahi ya kitaifa. Aidha, tutaanza mkakati wa kuziunganisha bandari hizi tatu na nchi za jirani zitakazozihudumia; Bandari ya Mtwara kwa nchi za Kusini, Bandari ya Dar es Salaam kwa nchi zakati, na Bandari ya Tanga kwa nchi za Kaskazini.
 
Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu mkuu wa CHADEMA au hata mwenyekiti wakizungumzia ni jinsi gani wao wakiingia madarakani watakabili suala la mfumuko wa bei,kukuza kipato cha Mtanzania, ni jinsi gani watafanya hili taifa lijitegemee. Kuzuia UFISADI sio suluhisho pekee la uchumi wetu. Tunataka CHADEMA watuambie wataboreshaje maisha ya Mtanzania. Embu ona mtu kama Edwin Mtei ambaye ndie mlezi wa CHADEMA, kwanza huyu mzee anamiliki mashamba Meru wakati watanzania hawana mashamba, juzi juzi katoa maneno ambayo nisingetegemea mtu kama yeye kutamka, eti tume ya uchaguzi ina waislamu wengi kuliko wakristo.

Vijana wengi wa Tanzania wanamatarajio makubwa sana ambayo siyo realistic wanafikiri CHADEMA wataibadilisha hii, nawahakikishia hakuna mabadiliko yoyote yatakayoletwa na CHADEMA.
Nakei, mimi kila siku namshukuru Mungu kwani uligombea ubunge Iramba mashariki na tukakupiga chini ndani ya kura za maoni, kipigo cha mbwa mwizi! Wewe ni mbumbumbu kwa kila kitu. Go to hell...
 
Huwezi kutawala nchi bila mipango ya kiuchumi hata siku mmoja...nakumbuka Slaa alishawahi kusema siku mmoja kwenye sera yake ya uchumi wakati wa kampeni za urais kuwa Chadema wakichukuwa nchi mfuko wa Saruji mmoja utauzwa Sh5000 lakini hakuonyesha njia atafanyaje mpaka hiyo bei ishuke.
 
Nakei, mimi kila siku namshukuru Mungu kwani uligombea ubunge Iramba mashariki na tukakupiga chini ndani ya kura za maoni, kipigo cha mbwa mwizi! Wewe ni mbumbumbu kwa kila kitu. Go to hell...

duuuu hali ni mbaya inamaana hata huyu naye alitaka kuwa mbunge!??
 
Tatizo watu wanaangalia CHADEMA kama vile wale executives ndio watakua watendaji, malekcharas, wahasibu nk.... tusome jinsi mfumo wa serikali na siasa vinavyofanya kazi

Mkurugenzi wa utawala wa shirika fulani la fedha hataondolewa simply kwasababu chadema imachukua nchi bali kutokana na merits

INABIDI WATAALAM WALETE SHULE JF MAANA WENGINE WANADHANI KILA KITU NI SLAA, ZITTO, KITILA NK
 
Nadhani hawa mabwana hawana muda wa kusikiliza! Budget ipo budget mbadara! Sera za chama kama hamsikilizi basi someni!
 
Mna hatari saana nyie wawili! Mfuko wa cement 5000 inawezekana lakini kwa mfumuko huu haiwezekani
 
Nadhani hawa mabwana hawana muda wa kusikiliza! Budget ipo budget mbadara! Sera za chama kama hamsikilizi basi someni!
Mkuu wangu unakuwa kama huwajui Wadanganyika..Neno KUSOMA huu ni mtihani mkubwa kwoa wanataka mtu azungumzie kwa maneno na hata akizungumza hawataki hotuba ndefu maana Mpira wa Baca na Chelsea..Wanzania almost millioni 20 wamesajiri na mashirika ya simu wakati nusu ya polulation hawana ajira - Mahesabu yatakubalika vipi?
 
....siku zenu zinahesabika, 2015 ndio utajua kwa nini ajenda kubwa ni Ufisadi
 
Back
Top Bottom