Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

Sisi tupo kwenye mjadala mkali wa lugha ipi itumike kufundishia kuanzia shule ya msingi mpaka chuo
Na n mwaka wa 20 Sasa bado tunajadil swala la lugha

Shame to my govt yaan wenzetu wanenda mbele ss bado tunawaza mambo ya karne ya 18

Hapo bado mjadala wa vaz la taifa nao una miaka na mikaka hatujapata ufumbuzi

TUMELOGWA NA MGANGA KAFA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aliekwambia mashuleni kuna shida ya vitabu nani? Kuna sekondari Abbot zinapigwa vumbi tu hazina wasomaji. Msingi kuna vitabu lundo labda kama wanafunzi wamechana ola shule zinapelekewa vitabu vya kutosha.
Sawa ticha! Vitabu sio shida! Waalimu wa kutosha. Hakuna shida hata moja...!
 
Kwa hio walioweka msamiati wa low iq,high iq na normal ni wajinga ola wewe ndio mjuzi ?
Kwa hio kama shuleni hakuna vilaza Tanzania ni nchi ya ma 'geneus 'eti?
Unafurahisha genge au una andika uhalisia.Naona kama haupo siliasi hivi au unataka kuweka ligi!
Sawa ticha wanafunzi wa Bongo wapo vilaza. I hope wewe sio kilaza wala hauko kwenye hao low IQ.
Mimi sijui ticha, wala sina hata ka diploma ka Education!
Nisamehe Ticha!
 
Kwanza isiwe laxima kila mtoto asome Programming wengime wasome application software kana graphics design, office, animation nk.
Mfano program kama toonz maker ni njema watoto waijue,
Wasome adobe, wasome gimps nk
Watoto wawe konki wapige code za kufa mtu, yani za kufa mtu.
Wanapomaliza wajue CSS,HTML, Javasctipt yani kwao iwe kama chai.
Website za shule,halmashairi zitengenezwe na wao badala ta graduate.
inawezekana hata hapa kwetu, mi japo sikuendelea na maswala ya computer lakini O-level kwenye somo la ICT tulisoma HTML 5 japo ilikua kidogo, na NECTA form four swali lilikuja la HTML lilikuja kwenye prac, vilevile baadhi ya softwares za adobe tulijifunza basics zake na shule ilikua ya serikali,
Pamba secondary, Mwanza.
 
Ni sawa ila watu wanadhani kusoma computer ndio suluhisho la elimu TZ.
Elimu ni dh na pana inayojumuisha mambo mengi. Wanashau engluxh tu inawasumbua hio comp itakuwaje.
 
Ni sawa ila watu wanadhani kusoma computer ndio suluhisho la elimu TZ.
Elimu ni dh na pana inayojumuisha mambo mengi. Wanashau engluxh tu inawasumbua hio comp itakuwaje.
Mkuu English na computer vitu viwil tofauti, kumbuka kujua lugha haimaanishi wewe mwamba.
 
Why do you think it's not possible for primary?
From standard 4 onwards should be possible
Std 4 - Basics of Computers
Std 5- Basics of Python Language
Std 6 - writing Simple programs solving mathematical problems and related problems in console apps
Std 7 - Writing UIs and Simple Games with Python

It is very possible. But two things need to be done beforehand. 1. Programming teachers must be found or trained. There are many ways to solve this in our context and 2. We need computers and power. Again there are many ways to solve this.

We can start with select schools and expand. PPP is crucial here!
Nina office na computer nawaza kufanya hii kitu niweke watu wakufundisha coding sijui italipa
 
Mhmmm sidhani kama ni wazo zuri hata kidogo kufundisha coding primary school.
Coders wazuri wengi walianza wakiwa wadogo. Si wanaanza ni basics unajua haya mambo ukikutana nayo ukubwani inakuwa kasheshe
 
Coders wazuri wengi walianza wakiwa wadogo. Si wanaanza ni basics unajua haya mambo ukikutana nayo ukubwani inakuwa kasheshe
Naelewa lakini waanze kufundishwa sekondari. Ni kazi bure kuhangaika na watoto wote wajifunze coding primary. Tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Kuna mdau hapo juu katoa maoni kwa ngazi ya primary wawe na clubs na hiyo mambo ya coding iwe extra curricula activity. Kama tunataka coding iingizwe kati mtaala rasmi basi ianzie secondary form 1.
 
Coding ni specialization. Specializations hazitakiwi ziwepo kwenye elimu ya msingi (i.e mtaala rasmi kila mtu afundishwe darsani). Inafaa zaidi ziwepo kama extracurricular activities eg. after school clubs nk.
Kinachoifanya iwe specialization ukilinganisha na hesabu ni nini?
 
Coders wazuri wengi walianza wakiwa wadogo. Si wanaanza ni basics unajua haya mambo ukikutana nayo ukubwani inakuwa kasheshe

Wengi tunakumbana na coding ukubwani, kwanza mimi sikua najua hata mouse ni kitu gani, monitor yenyewe nilikua nadhani ni TV fulani hivi, ila leo natiririka coding, systems kadhaa ambazo zipo zinatumika.
Muhimu sana kutanguliza coding udogoni.
 
Kinachoifanya iwe specialization ukilinganisha na hesabu ni nini?
Hesabu sio specialization. Hesabu ni kati ya basics. Hesabu ni pana saaanaaa haiwezi kuwa specialization. Au haujui maana ya specialization? Hesabu inazaa branches nyingi ambazo ndio zinakuwa specialization. Hata coding inaingia kidogo kwenye hesabu.
Coding ni specialization ambayo ni branch ya basics mbalimbali kama computer science na ICT ambazo zenyewe ni branches za masomo mengine kama hesabu nk.
 
Wengi tunakumbana na coding ukubwani, kwanza mimi sikua najua hata mouse ni kitu gani, monitor yenyewe nilikua nadhani ni TV fulani hivi, ila leo natiririka coding, systems kadhaa ambazo zipo zinatumika.
Muhimu sana kutanguliza coding udogoni.
Hata mimi naungana na wewe, watu wakijua basics wenye passion nayo wanaendelea nayo watakuwa wazuri sana
 
Back
Top Bottom