WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 5,610
- 5,276
Wachina wanajifunza Kiingereza,Wajapan wanajifunza Kiingereza,Wahindi wanajifunza Kiingereza,Warusi wanajifunza Kiingereza wewe ni nani ukatae lugha ya dunia?Kati ya kiswahili na Kichina, kirusi, kihindi, kikorea, kijapan ni ipi lugha unaona ilikuwa ni ngumu kufundisha hayo masomo ? Swali kwa nini wao kupitia hiyo lugha waliweza kufundisha hayo masomo, halafu wewe uone kwa kiswahili haiwezekani ?