haahaaah...mkuu ungemshitua kwamba inaweza kula kwake maana rejection ya aina hiyo ni ya kihistoria. 100% rejection!teh teh ..kazi kweli kweli...niliona dalili mwanzoni wakati anatoa summary ya muswadda nikajua leo kazi ipo
Kwa hiyo wakongwe bungeni waendelee kutetea viti vyao majimboni?- Wanaojua vizuri wanasema it takes like five years kwa mbunge kuweza ku-figure out how bunge works!
ES!
Kilicho nishangaza zaidi leo ni Naib Spika pamoja na Dr. Slaa kuomba kuahirishwa mjadala kwa mujibu wa kanuni za bunge hakuchukua hatua ya kulihoji bunge mpaka Malechela kasema bila kutaja kanuni kamwita mtoa hoja Simba na kumnyima nafasi Hamad Rashid ili kuibeba hoja iwe ya CCM. Aibu tunahitaji spika asiwe mkereketwa wa chama kama Anna
Kwa hiyo wakongwe bungeni waendelee kutetea viti vyao majimboni?
Mkuu, muswada wenyewe ulihusu nini hasa, labda tukifahamu itasaidia kujua kama alitendewa haki kupondwa au la, si unajua tena bongo siasa za visasi?
Katika nchi inayofuata meritocracy Sophia Simba alitakiwa kuwa pale, huko bungeni isingewezekana kabisa.
- Mleta mada bado hii mada kueleweka, vipi unaweza ukairekebisha kidogo maana wengi tunashindwa kuelewa kilichojiri hasa na the ishu, au?
Respect.
FMEs!
Siamini kama JF mpaka sasa imeshindwa kupata Muswada na kuuweka hapa tuujadili! Nilikuwa naamini kuwa Mzee Mwanakijiji huwa hashindwi kupata documents na kuzibandika, watu wakaendelea kumwaga mambo wakiwa na uhakika wa kile wanachojadili, lakini sasa mmmmh!