Yeye anausoma tu kama waziri mwenye dhamana na chombo hiki kinachotarajia kuundwa na muswada huu ukishakuwa sheria. Waandaji ni wengine. Niliona akiishukuru wizara ya Katiba na Sheria nikajua umekamilika. Nikamwona na Mzee Lubeleje naye akiusifia!Muswada unapelekwa na Sophia Simba huyu huyu mutoto wa mujini anayefahamika? Lazima uwe rejected! Ni magumashi matupu hayo.