Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Mwisho naomba kuwauliza wanasheria: Hivi hakuna constitutional implications za kukataliwa kwa muswada bungeni? Hii si dalili ya kukosa imani na Rais?
Kaka hili liko kwenye hotuba ya bajeti ya serikali tu... sio kwenye miswada au kwenye hata budget za wizara moja moja!
Alafu mswada huu bado uko kwenye mikono ya bunge... umerudishwa kwenye kamati ya bunge ambayo ni bunge...
Ila mimi sio mwanasheria mkulima tu mtukutu ndio maana najua kupiga kiibodi...