Msimjaribu Zitto, mtaumia!

Kama wananchi wanampenda Zitto basi aanzishe chama chake aone kama hayo mapenzi ni kwa Zitto au Chadema...kwa sasa Zitto hana ubavu ata wa kumshinda Mnyika kwa kura, kwa ufupi Zitto haaminiki tena!

Sent from my BlackBerry
 
Jakaya anasafisha Nyota kwa Zitto ha ha haaaaa. Magamba mnapenda kumfatilia sana huyu dogo. Juzi alikuwa Marekani akawananga mkakimbilia kumjibu Kitooooooooooooto

Umeomba picha umepewa unaanza vioja...Zitto msijaribu Mtaumia.
 
Huachi kuwewseka?

There is childhood, there manhood, you are still sucking your fingers!!. Zito anakuhusu nini wakati wewe ni gamba. Uchonganishi tu; Mtu mzima hovyoo!!!!
 
Kuna kitu kitafumuka CDM mpaka mtashangaa,
CHADEMA lazima ife kabla ya mwaka 2015.
 
Kama wananchi wanampenda Zitto basi aanzishe chama chake aone kama hayo mapenzi ni kwa Zitto au Chadema...kwa sasa Zitto hana ubavu ata wa kumshinda Mnyika kwa kura, kwa ufupi Zitto haaminiki tena!

Sent from my BlackBerry

Msijaribu Zitto mtaumia!
 
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.

Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.

Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.

Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.

Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.

Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.

Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.

Wewe unaposema kuwa 'kama CHADEMA hawatamsimamisha Zitto kugombea nafasi ra Urais basi CHADEMA haitapata kura za wapiga kura za jimbo la Zitto', ujue pia kuna watanzania wengi zaidi wanaosema kuwa kama atasimamishwa Zitto kugombea nafasi ya Urais, hawatampa, iwe amegombea kupitia CHADEMA au chama kingine chochote. Zito ni kiongozi na ana msaada katika Taifa hili lakini siyo kiongozi anayeweza kuleta matumaini katika nafasi ya Urais. Kwenye nafasi ya Urais, aada ya kufanya makosa mengi huko siku za nyuma, sasa tunahitaji kuwa makini zaidi. Hatuangalii sifa moja tu, ni lazima tuangalie sifa mchangayiko zinazoweza kutuhakikisha kuwa mtu huyo anazo. Zitto katika mambo mengi ametuhakikisha kuwa na sifa tusizozitaka kabisa kwa mkuu wa nchi.
 
Hakuna niliposema hayo maneno. Rudia post yangu usitie maneno yako kinywani mwangu.
 
Huachi kuwewseka?

There is childhood, there manhood, you are still sucking your fingers!!. Zito anakuhusu nini wakati wewe ni gamba. Uchonganishi tu; Mtu mzima hovyoo!!!!

Bado u mdogo sana kuelewa kuwa kura za chama kimoja hazimpeleki mtu Ikulu kwenye siasa za vyama vingi.
 
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.

Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.

Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.

Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.

Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.

Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.

Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.

Umejitoleaje kuwa msemaji wa Zitto, Machungu ya Zitto umeyabeba wewe? Huu ni uchonganizshi wa mbwa muoga.
Zitto anaeleweka vyema na kila mwanachadema na Watanzania anao uwezo mkubwa sana wa kujieleza pale anapoona mambo hayaendi vizuri. Awezeje kusimamia mambo muhimu bungeni, mitaani, na kwenye kamati anazoziongoza halafu ashindwe kueleza haya mambo madogo na ya upuuzi kama haya.
Mmempata SHIBUDA tuu Zitto mhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna kila njama zinazofanywa
kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la
kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona
kuwa Zitto ni mwiba mkali.

Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka
kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa
ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu
Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa
Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto
akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.

Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo
hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya
msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA
na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye
maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na
anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo
mingi.

Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga
kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo
walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda
lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma
90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.

Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka
Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA
tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.

Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge
wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.

Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.

Mbwiga!
 
Zomba,

Be fair to OTHERS and give a stand of your own not the general public. See your ambiguous and contradicting statements below!

It seems your Swahili is very poor my lady.

By yangu mwenyewe, I meant I am the source of the information, by addressing chadema, I am addressing many not one of them.

Umeelewa binti?
 
Umejitoleaje kuwa msemaji wa Zitto, Machungu ya Zitto umeyabeba wewe? Huu ni uchonganizshi wa mbwa muoga.
Zitto anaeleweka vyema na kila mwanachadema na Watanzania anao uwezo mkubwa sana wa kujieleza pale anapoona mambo hayaendi vizuri. Awezeje kusimamia mambo muhimu bungeni, mitaani, na kwenye kamati anazoziongoza halafu ashindwe kueleza haya mambo madogo na ya upuuzi kama haya.
Mmempata SHIBUDA tuu Zitto mhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Simsemei Zitto, wala sijawa msemaji wa Zitto. Usipoteze maana. Mimi hayo niliyoyaandika ni yangu kutokana na analysis zangu za wanasiasa wa chadema, anaenivutia huko mpaka sasa ni Zitto Kabwe.
 
It seems your Swahili is very poor my lady.

By yangu mwenyewe, I meant I am the source of the information, by addressing chadema, I am addressing many not one of them.

Umeelewa binti?

I thought my Swahili is naturally excellent ....anyway, as I graduate English I'll think to consider your advise and possibly take a polish Class for my Swahili
 
Simsemei Zitto, wala sijawa msemaji wa Zitto. Usipoteze maana. Mimi hayo niliyoyaandika ni yangu kutokana na analysis zangu za wanasiasa wa chadema, anaenivutia huko mpaka sasa ni Zitto Kabwe.

Jiunge na chama cha Zito kisicho CDM. Ukikua utaacha hizo
 
Zitto Kabwe.

Bassaleh Tunamwachia awape darsa tu.

Bassaleh atupe darsa la uamsho tuchome makanisa na kupinga MoU japo sisi ndio tunaoongoza kwa kujifungulia Muheza Teule kwa kuwa tunazaa kila mwaka, uongo?

Enhee halafu nimekumbuka. Vipi ule mpango wetu wa kususia Sensa? Mimi nina usongo kweli wa kususa manake hatujafanya jambo la kijinga kitambo kweli.

Halafu nashauri tui-HACK Tanzania - Country Information manake inapotosha UMM'A. Inasema Vatican wapo 33% sisi (wanauamsho) ni 35% na makafir wengine ukiwajumlisha ni kama 13% hivi na waliobakia ni Wahindi na Masai. Sasa kwa nini hawakujumlisha za mapagani kwetu ili tuwe sawa kidini?

Mimi naona ule mpango wa kususia sensa uendelee
 
Siku zote ukitaka ushauri usiupokee kutoka jikoni. Tafuta mtu ambae hajaona chakula kimepikwaje. Ndio maana wapishi huwauliza walaji, vipi chakula kiko sawa?

Ni kweli mkuu, ila adui yako namba moja akikwambia fanya hivi ili tupigane vita basi jua KUNA TATIZO HAPO

Mfano wako umekwenda out of context.... sijawahi sikia Ferguson akimwambia Daglish namna ya kuchezesha midfield yake against Manuted
 
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.

Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.

Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.

Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.

Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.

Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.

Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.

Ndugu unamatatizo sana tena makubwa kuliko hata huyo unae mlamba miguu!

Unahaki ya kutoa maoni lakini huna haki ya kuwapangia cha kufanya wanachadema (watanzania)

Kama Zitto anafaa chama ndicho kitaamua na watanzania watamuunga mkono! Lakini akijiona yeye anafaa ilihali chama kinaona hafai kwa mujibu wa taratibu za chama, basi milango iwazi kwake kwenda CHAMA chochote anachoona kitamfaa na kumuidhinisha kuwa mgombea!

Mimi binafsi narudia tena japo nilishasema katika makala zangu kuwa ZITTO KABWE kwa sasa hafai kuwa rais wa Tanzania labda huko mbeleni 2030 huko!

Hili ni kwasababu ya ideology yake kisiasa na kitabia!

Nakushauri ndugu mpambe, umshauri huyo Zitto wako atumie mda mwingi kujifunza siasa za tanzania aache siasa za kukopi na kupesti toka CDU Ujerumani! Chadema pamoja na kuzikubali siasa za CDU lakini huzichambua zile zinazoendana na jiografia ya nchi yetu!

Ni hayo tu ndugu mtumiwaji!

Ni

Mimi muamini wa mang'amuzi huru

Yericko Nyerere
 
Jenga hoja kama hoja ilovyotolewa, Shekhe Baswaleh ni mtu ambaye anaheshimika kwa watu wake hivyo kuleta mzani hambao haujui unapima nini sio vizuri na una kipunguzia credit chama kwamba kina harufu kidogo ya udini, kwanini usingetumia mfano mzuri wenye maana.
Huo mfano ni relevant kwa mada iliyopo kwani mleta mada mwenyewe amesukumwa na udini kuanzisha huu uzi hivyo sioni cha maana zaidi ya kujibiwa kwa mifano hiyo.
 
Back
Top Bottom