kenethedmund
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 347
- 89
Wewe jaribu kufikiri basi yaani unataka Zitto alazimishwe kuhudhuria mikutano ya chama kama yeye hataki, huyo zitto wako wakati watu wako kwenye kampeni za uchaguzi wa Arumeru yeye anasema atagombea urais 2015 tumueleweje. Halafu na safari za rais ambazo sio rasmi anazokwenda zinatuweka katika wakati mgumu.
ki ukweli tangu zitto aingie kwenye kamati ya madini amebadilika.
ki ukweli tangu zitto aingie kwenye kamati ya madini amebadilika.