Othman Masoud na Tundu Lissu wanaenda kubadili mwelekeo wa Siasa nchini, Makombora yao yatauwa CHAWA wote wa CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Ujio wa Othman Masoud kwenye Uongozi wa ACT Wazalendo na kuimarika kwa Chadema upande wa Tanganyika kutabadili kabisa mwelekeo wa Siasa nchini.

Japokuwa Masoud hatakuwa KC lakini kutokuwepo Zitto Kabwe kwenye safu ya Uongozi kutamfanya ayafikie Malengo yake ya kisiasa bila bugza.

Ikumbukwe Zitto ndio alifanya ACT Wazalendo iwe mdebwedo kwa sababu ya kutumikia Mabwana Wawili

Kwa upande wa Chadema moto Wao tayari unawaka na watakapoanza kumchambua CHAWA mmoja mmoja ndio hapo CHAWA watajua hawajui.

Mungu wa Mbinguni Ibariki CCM.
 
Siasa za kulalama kila uchao, kila uchao ni kunungunika, kulaumu, kukejeli, badala ya kutoa [Idea mpya, Intel mpya, knowledge mpya,] ON WHAT TO DO TO ACHIEVE. kila uchao kulalama na kulaumu,
#Stupid
Tunataka mtujuze hasa juu ya namna gani ambayo mnaiona ni nzuri ya kukusanya kodi.
 
Tatizo puppet amechokwa sana ndani ya cdm na inachosha ata kumskiza porojo na story mingi zake za kutegemea huruma za wanainchi ni useless 🐒

hawezi kufua dafu tena, dk Slaa anakubalika zaidi cdm, lakini uzee watia shaka 🐒
 
Mwenye chama anakaaje pembeni bwashee!
 
Mbona ndugu unapenda kuongea,vitu ambavyo ni hisia tu. Tindu Lissu mropokaji huyo ameanza siku nyingi sana kuropoka. Kumtaja Makonda kila saa ndio kubadili mwelekeo?? Ataondoa tatizo la sukari? ataondoa tatizo la umeme? Mbona hatusikii hivyo vitu?? Mabadiliko ya siasa yanakujaje kama huna sera???
 
😂😂😂🔥

Ngoja tuone!
 
Siasa za kulalama kila uchao, kila uchao ni kunungunika, kulaumu, kukejeli, badala ya kutoa [Idea mpya, Intel mpya, knowledge mpya,] ON WHAT TO DO TO ACHIEVE. kila uchao kulalama na kulaumu,
#Stupid
Tunataka mtujuze hasa juu ya namna gani ambayo mnaiona ni nzuri ya kukusanya kodi.
Wee jinga kabisa, unataka upewe desa la kufanyia kazi! Kazi iliyopo sasa ni kuwachambua kama karanga mpaka mteme bung'o.
 
Tatizo puppet amechokwa sana ndani ya cdm na inachosha ata kumskiza porojo na story mingi zake za kutegemea huruma za wanainchi ni useless 🐒

hawezi kufua dafu tena, dk Slaa anakubalika zaidi cdm, lakini uzee watia shaka 🐒
Atawachana mpaka mseme, shenzi wahed!
 
Mbona ndugu unapendaongea,vitu ambavyo ni hisia tu. Tindu Lissu mropokaji huyo ameanza siku nyingi sana kuropoka. Kumtaja Makonda kila saa ndio kubadili mwelekeo?? Ataondoa tatizo la sukari? ataondoa tatizo la umeme? Mbona hatusikii hivyo vitu?? Mabadiliko ya siasa yanakujaje kama huna sera???
Acha ujinga ataondoaje tatizo la sukari na umeme wakati mmewakabidhi mafisadi wawatafutie fedha za kununua flana na kapelo za kuhonga wakongwe masikini.
 
Baada ya kuchanana huko Peasants, Workers na Wabangaizaji wanaendelea Kuchakaa...; Same old Same old.....
 
Back
Top Bottom