Hivi muhimbili bado kuna mgomo? Poleni wafiwa akapumzike huko mola anapoona panamstahili.
Kutibiwa ufaransa? Si kuna muhimbili mwananyamala temeke
wewe siyo mstaarabu bali ni xx//#%@**. The guy is dead for heaven sake. Who are you to judge him?
Kama huwezi kuandika hata pole basi ungenyamaza kimya. Unamtuhumu maiti ilhali ukijua kuwa hawezi kujitetea????
Definetly he was one of the best! RIP Walid Juma.
Mhhh ndio maana watu walihoji sana uteuzi wa yule kijana wa Barclays....wengi walidhani Walid ndo angefaa sana kuchukua nafasi ya mzee Kitilya akiondoka
Unfortunately sio kwa matakwa ya serikali ya jangili dhaifu. RIP kamanda, tulisikia walichokufanya, na matokeo ya madoc kule ujerumani kuwa walikuwekea madudu makali sana na yakasambaratisha cells zako mwilini...!! Nao watalipwa hapa hapa duniani....
lakini wote mwisho wa siku tunatoa mafunza, tena makubwaaaaaaa! JAMANI TUHANGAIKIE ROHO ZETU ZAIDI! rip walid!Du wanafia india,uk,ufaransa watu na miela yao,Tanzania hii hii
Majority are corrupt au hujawahikuingia kwenye 18 zao ukajionea maajabu ya TRA?
R.I.P Warid juma
Yaan we acha tu, nilienda na b mkubwa apollo nilitaka kudata,, yaan rum tu ndan ya hospital international division cheapest ni kama usd 200 per day, bado msos maana hospital apollo wame outsource kwa catering company nayo inaleta invoice daily, bado bili ya surgery, vipimo na matibab yote.. na haraka haraka matibabu sio chini ya mwezi, hapo ujaweka matibabu na ni mwendo wa madolari tu,,, japokuwa ndugu,jamaa na marafiki walijichanga but hizo cost ni noma...
Raha ya hawa wenzetu wanatibiwa na serikali so yeye haulizi hata bei ni shangwe tu, maana kipindi nipo kule alikuwepo fataki wa lulu yule mbunge.. Yaan anakaa hospital hajui hata bei zinakuwaje as serikali inalipa, we unawaza hela nikiishiwa itakuaje ye anacheka cheka tu as kila kitu kalipiwa