MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

mkuu itabidi uombe radhi na hii coment yako, maana umewakwaza watu.

Kama ni binadamu wa kawaida anapaswa kuomba radhi,lakini kama haoni umuhimu wa kufanya hivyo basi
atakuwa na matatizo ya akili.
 
Binafsi nilimfahamu kwa kiasi chake. Alikuwa mpole, msikivu na asiyependa kutotenda haki. Mungu akulaze mahali pema peponi Walid Juma- AMEN.
 
Haya ****** panga ratiba yako fresh, msiba wa kuhudhuria huo tena, Mungu akupe nini tena!
 
quote_icon.png
By Kintiku

Mhhh ndio maana watu walihoji sana uteuzi wa yule kijana wa Barclays....wengi walidhani Walid ndo angefaa sana kuchukua nafasi ya mzee Kitilya akiondoka"


Unfortunately sio kwa matakwa ya serikali ya jangili dhaifu. RIP kamanda, tulisikia walichokufanya, na matokeo ya madoc kule ujerumani kuwa walikuwekea madudu makali sana na yakasambaratisha cells zako mwilini...!! Nao watalipwa hapa hapa duniani....

Yale yale ya kina Mwakyembe, huyo Kitilya na genge lake ajue tu kuna mwisho na mwisho wake ni KUFA, je aliongea na Mungu wake kuwa ataishi milele, na je anajua atakufa vipi! HAkika kama kweli wamemtenda basi MALIPO NI HAPA HAPA DUNAINI AKHERA INAENDA HISABU ! na mwisho wao ni mbaya wao na VIZAZI VYAO !

"HAKIKA SISI NI WA MWENYE EZ MUNGU NA KWAKE NDIO MAREJEO YETU" ALLAH AKUPUMZISHE PEMA PPONI, NA AKUHJAALIE BUSTANI YENYE NEEMA HUKO, POLENI WAFIWA WOTE NA ALLAH ALIETAKASIKA AWAJAALIE FARAJA DAIMA AMIN AMIN AMIN
 
Walid. Ni mchapa kazi ambaye taifa halikuwa tayari kumpoteza ndio maana ikagharuimia kote huku
Kansa yake haikuwa na tiba hapa
Ila ugonjwa wake kuna dalili kubwa mafisadi walimpandikiza virusi vya kansa
Kuna kila dalili kutokana na ripoti za apollo na france
Si cansa ya kuanza kidogo kidogo imepandikizwa na kuenea kwa kasi mwilini kwake
Kuna mafisadi ambao walikua wakintiushia sana mpaka alitaka kuacha lakin serikali ilimkatalia
Miongon mwa wafanya biashara mafisadi wanaotuhumiwa ni pamoja na wabunge wafanya biashara
Majina tunayo wakati muafaka tutayataja
Pia kuna kampuni za madini walimkamia na kumtisha yote kwa vile yeye alikua akifanya kazi kwa mujibu wa sheria
Tunasubiri tuzike patachimbika


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums


Tunasubiria uhondo mkuu,mkishazika tafadhali tumwagie mtama jamvini na sisi!
 
Kama ni binadamu wa kawaida anapaswa kuomba radhi,lakini kama haoni umuhimu wa kufanya hivyo basi
atakuwa na matatizo ya akili.

nafikiri nae ni great thinker hivyo ataomba radhi tuu.
 
Nakubaliana na wewe, Walid Juma ni mtu ambaye aliependa sana watu na kufanya kazi yake kwa umakini sasa,, kaiboresha customs sana kwani customs ndio kila kitu ya TRA.. Hakuna kama Walid Juma Taifa limepoteza kifaa!!
yaweza kuwa kweli mkuu.
huyu bwana aliweza kusimamia sheria kwa kutumia busara ya hali ya juu na alikuwa mbali kwa kiasi fulani na fitina pamoja na unafiki unaokuwa kwenye taasisi kubwa za umma kama hii.
na alikuwa na uwezo wa kusikia hoja mpya then akafikiri na kufanya decision ambazo sio za ki-conservative kama maofisa wengi wanavyoishiaga kusema kwa kutojiamini na roho mbaya kuwa "sheria ndivyo inavyosema"

RIP Warid Juma

 
TRA na Taifa limepoteza mtu makini, mchapakazi, mkweli, mwadilifu, mpenda maendeleo ya taasisi na ambaye hakupenda wonevu kwa watu wa chini yake. Tulimpenda Walid Juma Mungu amependa kumtwaa katika ulimwengu huu

AMINA

Ni kweli kabisa haswa ukizingatia ndie alianzisha mfumo wa application on line kwa ajili ya leseni !
 
Walid. Ni mchapa kazi ambaye taifa halikuwa tayari kumpoteza ndio maana ikagharuimia kote huku
Kansa yake haikuwa na tiba hapa
Ila ugonjwa wake kuna dalili kubwa mafisadi walimpandikiza virusi vya kansa
Kuna kila dalili kutokana na ripoti za apollo na france
Si cansa ya kuanza kidogo kidogo imepandikizwa na kuenea kwa kasi mwilini kwake
Kuna mafisadi ambao walikua wakintiushia sana mpaka alitaka kuacha lakin serikali ilimkatalia
Miongon mwa wafanya biashara mafisadi wanaotuhumiwa ni pamoja na wabunge wafanya biashara
Majina tunayo wakati muafaka tutayataja
Pia kuna kampuni za madini walimkamia na kumtisha yote kwa vile yeye alikua akifanya kazi kwa mujibu wa sheria
Tunasubiri tuzike patachimbika


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
umeenda mbali mkuu lakini hakuna lisilowezekana nchi hii, laiti Mh. Mwakyembe na wenzake wangelisema kilichowatokea kwa hakika wengi wangelikuelewa zaidi hata.

Nasikia huyu mheshimiwa alipoteuliwa kushika hiyo nafasi wafanyabiashara wengi wa Kariakoo na wengine wanaotokea maeneo anakotoka pia walisherehekea kuwa 'now it was their time to eat' lakini walivyoanza kumfuata fuata walikatishwa tamaa na msimamo wake wa kusimamia sheiria na fairness katika ulipaji wa ushuru na kodi

 
R.i.p juma
best friend ever kamishna wachache wasiojidai na mali walizokuwa nao naamini ndugu amtoanza kugawana kabla ya kuzika
..innalillah rajueen
 
We have lost a great civil servant, an honest tax officer, a deeply religious being, a brave soldier, a leader who didn't oppress anyone AND was fair to every TRA employee. What a loss to TRA !. May Almighty God Rest his Soul in Eternal Peace, AMEN
 
Mhh! Kanuni za uumbaji za Mwenyezimungu ni ngumu sana, mafisadi ndo wanadunda lakini wasafi kama hawa wanaondoka wakiwa wachanga. Huyu Walid namjua vema, kwa kweli ana tofauti kubwa sana na mtanguliz wake (Lauwo) yule ndiye aliyeharibu Customs na huyu akawa na kazi ya kuijenga upya, bahati mbaya akiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake ndo hivyo Mungu amemchukua. Kuna kila dalili ya usaliti kwa ndugu huyu. Dah. Ukweli ni kwamba Walid ni msafi hasa na yuko straight sana na utendaji wake. Mwenyezi mungu akulaze mahali pema peponi
 
Hiyo nafasi ya kamshina wa forodha inatangazwa kwenye gazeti au ni teuzi za Rais, nasubiri waitangaze
 
mkuu tunaomboleza kwanza
TRA KWISHA KABISA SASA... Hiyo nfasi hata simjui nni wakumreplace.. hapo ndio penyewe.. Walid Juma yupo Peponi inshaallah na kama kuna waliomfanyia mby basi wajijue nawao ipo siku wataondoka hpa duniani.. Kamanda aliejitolea jasho kwa sana kuliendeleza Taifa letu na kila mmoja anajua hilo na wanomchukia wote ni ambao ni wakandamizaji wa Taifa.. Huyu huyu Kmanda kaiboresha sector yke mizigo inakua get cleared in day,,online licence,, cargo ni mambo mengi sana..Wanosema katibiwa UFARANSA, mapato alizoitengenezea Taifa alistahili hiyo privelage na wanaosema kafia Ufaransa na hospitali zipo yeye alikua akihangaikia afya yake kwani mnajua Tanzania hatuna mendeleo ya kutosha kutibu kansa. mungu ndie mpangji kaamua kumpumzisha pahala pema. Tumuombee Dua marehemu kwani ilikua ukimuona MR. Walid TRA ANGALAU UNAPATA IMANI NA TRA. kazi ni nzito ya kumchagua kamishna mpya apo custom mpaka sasa sijamfikiria mtu.. sijui mnasemaje?
 
Back
Top Bottom