Msiba CHADEMA Mwanza

Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza [ ...] kwa ugonjwa wa Pneumonia!

RIP Mh.

Jamani wana-JF eti mimi nilikuwa mpumbavu kiasi cha kuchukulia kuwa Pneumonia ni ugonjwa wa watoto! Ebu wataalam Nisaidieni hapa.

Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!

ameimaliza kazi yake dunian. Tufanye kazi kwa bidii lakini Tukumbuke ibada na kwamba kama kufa ni lazima, na kuokoka ni lazima. Hakuna jina lingine tulilopewa kuokolewa kwalo, ila ni jina la YESU. Mungu awajaze roho wake mfariji katika kipindi hiki kigumu wanafamilia wote, amen

wewe unafikiri imani yako ndio marking scheme ya imani nyingine hujui kuwa huo mtazamo wako ni wa kimarekani zaidi na hizo kampuni zenu za kidini fuatilia historia yake,utaona nyuma yake ni mtu wa kawaida kaanzaisha asiye na uhusiano na YESU wala mitume ,ila wako kibiashara ziadi na watu wajasiriamali wanaoitwa WACHUNGAJI

Back
Top Bottom