Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,174
Mkuu, Mshahara wa sh 955,000/- ikishakatwa PPF na PAYE inabaki Sh. 720,000/- na sio Laki tano na nusu.
Kimsingi sikubaliani na Mbunge kulipwa 10,000,000/- kwa wiki4 alafu daktari analipwa asilimia 10% ya mshahara wa mbunge.
Formula wanayotumia TRA hii hapa, kwa kiwango chochote kinachozidi 720,000, unachukua asilimia 30 ya kipato kinachozidi 720,000 (30% ya (900,000 toa 720,000) + 112,500 (hii yenyewe ni given)
ukipiga hapo hesabu inayokatwa ni 166,500 kwahiyo ukichukua 900,000 toa 166,500 anayobaki nayo daktari ni 733,500 na ukitoa NSSF ambayo ni 10% unapata 643,500/= kwahiyo si kweli kwamba 720,000/=