Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.
 
Mkuu, Mshahara wa sh 955,000/- ikishakatwa PPF na PAYE inabaki Sh. 720,000/- na sio Laki tano na nusu.
Kimsingi sikubaliani na Mbunge kulipwa 10,000,000/- kwa wiki4 alafu daktari analipwa asilimia 10% ya mshahara wa mbunge.
 
Kimsingi hata me imenishangaza ila naona hy laki 9 ni baada ya deduction mkuu!wakiongezewa kila sector itaamka na kudai nyongeza ya mshahara hapa walipaswa kukaa pembeni wao wenyewe wakayamaliza!
Hebu fikiria mwalimu analipwa net pay ya 150 laki kaka hii imekaaje?na wao wagome?

Hapa serikali inaapaswa kuwakumbukaa waajiri wake kila mwaka kwa percent zinazokubalika lkn hili la ma daktari walitaka mkuu aseme hvy hvy!
 
yaani hata Dereva wa TRA au BOT hapati mshahara kama huo ila kwa Daktari unamfaa eee, aisee madaktari wembe ni ule ule mkigawanyika tu mmekwisha.
 
Mshahara wa Mbunge 2.5 Milioni, Madakatari wanataka 3.5Milion, Haiwezekani nawashauri wafanye analysis kama inawezekana, Kama kusoma Miaka 5 Hata lawyer wanasoma Miaka hiyo na mishahara mmewazidi, Halafu kama unasomei kitu ili kikulipe somea kitu kinacholipwa hakuna mtu aliyelazimishwa kusomea Udaktari,
Halafu mtueleze Madaktari Secta ya afya inaongoza kwa Rushwa na Wizi wa Madawa na Kuwaelekeza wagonjwa kwenye Maduka yenu mtalimalizaje hilo sion tu mnataka Mishahara mikubwa hamsemi yakwenu mtamalizaje
 
kama wanataka kulipwa m 3.5 waanze kujilipa hayo masomo yao.....eti mazingira hatarishi sie mbona tunafanya kazi kwenye mzingira ya black mamba(koboko )...,hatujalalamika?? Nyoka akikugonga unakufa within 20 minites.....spidi yake 20 km per hr....urefu ft 14...lakini tunapiga tu kazi za serikali.....wakatafute mwajiri atakayeweza kuwalipa mshahara huo...hawana sababu ta kugoma...hilo swala kuboresha huduma za afya mbona ni la 12 kwenye orodha kama kweli ni wazalendo.......wasituzingue....jwanza wako shallow tu......
 
ila mkuu madaktar si wana maduka ya madawa ambayo wanaiba serekalini na pia wanamiliki hospt zao nadhani wana masilai mengi tu,
 
leo katika hotuba ya rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi tshs 900,000.ila laki tisa,ukikata ppf,paye inabaki kama tshs 550,000.ukiangalia dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanambunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.we unampa dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.

mkuu wa nchi ameshasema kwa uwazi salary mnayotaka nyinyi dr's wapenda fedha badala ya utu haupo na hiwezekani.. Kama unaona salary hiyo haitoshi nenda katafute sehemu kwenye salary nzuri..
Hongera rais wetu mtukufu tuko nawe daima
 
Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.

hapa unapotosha ndugu, net take home ni 660,000 na sio 550,000/
 
Mshahara wa Mbunge 2.5 Milioni, Madakatari wanataka 3.5Milion, Haiwezekani nawashauri wafanye analysis kama inawezekana, Kama kusoma Miaka 5 Hata lawyer wanasoma Miaka hiyo na mishahara mmewazidi, Halafu kama unasomei kitu ili kikulipe somea kitu kinacholipwa hakuna mtu aliyelazimishwa kusomea Udaktari,
Halafu mtueleze Madaktari Secta ya afya inaongoza kwa Rushwa na Wizi wa Madawa na Kuwaelekeza wagonjwa kwenye Maduka yenu mtalimalizaje hilo sion tu mnataka Mishahara mikubwa hamsemi yakwenu mtamalizaje
Mkuu unapozungumzia mshahara hebu tuelewane kwanza, mfano hiyo laki9 ya daktari tunayozungumzia hapo tunamaanisha gross yaani baada ya basic (mshahara wenyewe) na malupulupu mengine.
Hiyo 2.5 ya mbunge unayozungumzia bado hjajumlisha na malupulupu mengine na hata zile posho za kila kikao hjazihesabia achilia mbali mikopo na mamilioni wanayopokea baada ya miaka mitano.
Kwa taarifa yako Soon Mbunge ataanza kupokea 10,000,000/- kila mwezi. Milioni kumi kwa mwezi.
Alafu Hoja ya nyingine ya msingi ya madaktari ni mazingira ya kazi yaboreshwe na vifaa mahospitalini viwepo, wagonjwa wasilale chini na wengine wasishee vitanda kama ilivyo sasa ktk hospitali zetu za Serikali.
Cha ajabu Kikwete hajazungumzia hilo, amekomalia kwenye mishahara tuu.
 
ila mkuu madaktar si wana maduka ya madawa ambayo wanaiba serekalini na pia wanamiliki hospt zao nadhani wana masilai mengi tu,
ndo faida ya kuwa mtaalam badala ya kuwa mtu wa bla bla kama mchumi wenu numberi one anayetudanganya mchana kweupe.

Mliambiwa mfanye standardization ya mishahara yote ya serikali, taasisi na idara zake ili kuweka uwiano, mkagoma. sasa serikali kushindana na madaktari ni sawa na kutoa kafara usalama wa taifa.

Huwezi kushindana na sekta ya afya - kama huamini subiria shughuli itakavyozidi kuwa pevu baada ya hao madaktari wenu mliowaagiza wakifika.
 
kama wanataka kulipwa m 3.5 waanze kujilipa hayo masomo yao.....eti mazingira hatarishi sie mbona tunafanya kazi kwenye mzingira ya black mamba(koboko )...,hatujalalamika?? Nyoka akikugonga unakufa within 20 minites.....spidi yake 20 km per hr....urefu ft 14...lakini tunapiga tu kazi za serikali.....wakatafute mwajiri atakayeweza kuwalipa mshahara huo...hawana sababu ta kugoma...hilo swala kuboresha huduma za afya mbona ni la 12 kwenye orodha kama kweli ni wazalendo.......wasituzingue....jwanza wako shallow tu......

hujawai jiuliza mwanajeshi kushinda kambini na kuludi kulala na kasomea miezi6 na ni darasa la4 analipwa laki5,. Hyo wa degree mil2.5,. Je nani anaumuhimu apo doctor na mwanajeshi
 
Wote tu. Sema mwanajeshi ni zaidi coz ana nidhamu na uzalendo kwa nchi yake.
 
serikali imebuni njia mpya ya kuwadanganya wananchi ni kutoa takwimu(data)japo nyingi huwa zimeminywa na hazielezi ukweli wa mabo..ila mwisho wa siku kitaeleweka tuu.......
 
kama wanataka kulipwa m 3.5 waanze kujilipa hayo masomo yao.....eti mazingira hatarishi sie mbona tunafanya kazi kwenye mzingira ya black mamba(koboko )...,hatujalalamika?? Nyoka akikugonga unakufa within 20 minites.....spidi yake 20 km per hr....urefu ft 14...lakini tunapiga tu kazi za serikali.....wakatafute mwajiri atakayeweza kuwalipa mshahara huo...hawana sababu ta kugoma...hilo swala kuboresha huduma za afya mbona ni la 12 kwenye orodha kama kweli ni wazalendo.......wasituzingue....jwanza wako shallow tu......

Nimempenda huyo Koboko, lol!
 
Back
Top Bottom