FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 802
- 468
Mkuu unapozungumzia mshahara hebu tuelewane kwanza, mfano hiyo laki9 ya daktari tunayozungumzia hapo tunamaanisha gross yaani baada ya basic (mshahara wenyewe) na malupulupu mengine.
Hiyo 2.5 ya mbunge unayozungumzia bado hjajumlisha na malupulupu mengine na hata zile posho za kila kikao hjazihesabia achilia mbali mikopo na mamilioni wanayopokea baada ya miaka mitano.
Kwa taarifa yako Soon Mbunge ataanza kupokea 10,000,000/- kila mwezi. Milioni kumi kwa mwezi.
Alafu Hoja ya nyingine ya msingi ya madaktari ni mazingira ya kazi yaboreshwe na vifaa mahospitalini viwepo, wagonjwa wasilale chini na wengine wasishee vitanda kama ilivyo sasa ktk hospitali zetu za Serikali.
Cha ajabu Kikwete hajazungumzia hilo, amekomalia kwenye mishahara tuu.
madaktari huo mshahara unawatosha,mkiongezea na za wizi wa madawa, kutoa mimba, rushwa mko mbali