Mshahara wa mwezi ujao ni kitendawili

Tumekwisha, ilianza stock ya chanjo, tukaambiwa imeisha, pesa ya kuajiri walimu wapya hakuna, pesa ya kuendeshea wizara hakuna, na sasa mishahara?!!!! ntaandamana
 
Bongo kila kitu kinawezekana mkuu. utasikia tumetumia kuwalipa walimu wapya zaidi ya 9000 na kwamba development partners hawajachangia basket fund. Unafahamu kuna watu wameajiriwa oktoba hawajalipwa mpaka sasa?

Wewe unasema Oktoba? Mimi nimeajiriwa tangu mwezi wa Julai jina halijatoka kwenye Payroll kila nikiuliza naambiwa labda tusubiri mwezi ujao jina litatoka, wewe!! Cheza na nchi ya Mkwere.
 
Naamini huo ni uzushi hela ipo sana mpaka haina kazi kiasi cha kulazimisha nyingine tuwagawie wahuni
We ndio mzushi kuna watu hawajalipwa mishahara wala subsistence allowance since oktoba we unasema hela hazina matumizi. unatoka wapi wewe?
 
Itakuwa ajabu kuwepo hela kwa ufujaji huu mkubwa serikalini. Ma V8, yanayotumika kuendea shoping, bar na kubebea mkaa. With this ruthless expenditures, ingekuwa ajabu kuwa na hela.
 
Kwani dowans ipo kwa ilani chief? Ilani ili2pwa after uchaguzi. No direction, tupo km mapopo
 
Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:-
mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela.
Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama kikwete

Hivi makusanyo yote ya kodi yanakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom