Mshahara wa mwezi ujao ni kitendawili

Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:-
mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela.
Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama kikwete

kwa hiyo wenye baa unataka kuwaambiaje... au ndio gia yako ya kusaini kaunta mwezi huu....
 
nyooo!!! kimya!! wacheni makelele zenyu hapa. Tunajitahd ku-recuperate frm wounds of election, nyie mnabwata tuu!! Chama kingeingiaje madarakani kama si pesa zenyu wafanya job? Kelbu!!:Cry:
 
Sasa hii serikali inataka kuwashika watu pabaya ndo itajua kwanini punda anaebeba mizigo haliwi but waporini analiwa wakati wote PUNDA..!:welcome:
 
nyooo!!! kimya!! wacheni makelele zenyu hapa. Tunajitahd ku-recuperate frm wounds of election, nyie mnabwata tuu!! Chama kingeingiaje madarakani kama si pesa zenyu wafanya job? Kelbu!!:Cry:


Tuna wakenya humu!!!
 
sio rahisi!!! tulipe dowans halafu tushidnwe kulipa mishahara? where are our priorities? wananchi au manyang'au?

Our priority is different from their priority. DOWANS ndo haohao, so, watakuwa wanajilipa!

Lakini pesa itakuwepo tu - wapo busy wanaprint pesa za kumwaga
 
Mungu apishilie mbali.
Nina ndugu yangu ni bwana shamba, ana mke na watoto sita, anaishi kwa kutegemea mshahara.
Kwaa ajili ya kulipa ada mwanzoni mwa mwaka, sasa ameishiwa kabisa.
Akisikia mishahara haitoki si ndio atazimia kabisa?
 
mnadhani noti mpya alizochongesha kazi yake ni nini? kulikuwa haja ya kubadilisha noti?
 
huku kutengeneza hele mpya sio bure kulikuwa ndio mana hawakuzitoa za zamani sasa tusubiri inflation
 
KWani malipo ya Dowans yanaanza lini??? NAFIKIRI HILI NI SWALI LA MSINGI SANA.....
 
pesa ilishachapishwa bwana watu watapata tena noti feki mpya! Tutakachokoma ni inflation lazima ifike triple digits!
 
Walichota pesa yote hazina ili kufanyia kampeni za uchaguzi uliopita. Kuna malipo makubwa yanakuja ambayo yote ni ya kifisadi. Kuna malipo ya $69m kwa Dowans na kuna malipo ya $87m kwa Rites. Hazina imekauka naona Wikileaks revolution kama ile iliyotpkea kule Tunisia inazidi kusogea.
 
Back
Top Bottom