Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Nchi hii ukiwa jambazi serikali inakuabudu. Ukiwa mwenye haki na mtetezi wa haki za wanyonge serikali inakuona mtu mwenye dhambi nyingi sana.
 
CHADEMA mmemponza MsemaUWONGO, yeye kapewa faili pasipo kufanyia kazi, SASA cha moto atakiona kwani huo ni uchochezi nchi yetu ya amani. Hatutaki kupewa taarifa bila kufanya uchunguzi wa kina.

Nyie wachangiaji wengine mna ubaguzi wa rangi, HAKUNA SABABU YA KUWAHUKUMU MANJI NA ROSTAM; ACHENI SIASA UCHWARA!!!
 
Kila kitu kina mwanzo wake,

Natamani kumwona Msemakweli kizimbani na hati ya mashtka watakayomwandalia. Na pia itakuwa ngoma tamu sana kuiangalia kwa sababu itabidi dola lieleze makosa yake aliyoyatenda dhidi ya dola!!

Utasikia uchochezi na uhaini
 
CHADEMA mmemponza MsemaUWONGO, yeye kapewa faili pasipo kufanyia kazi, SASA cha moto atakiona kwani huo ni uchochezi nchi yetu ya amani. Hatutaki kupewa taarifa bila kufanya uchunguzi wa kina. Nyie wachangiaji wengine mna ubaguzi wa rangi, HAKUNA SABABU YA KUWAHUKUMU MANJI NA ROSTAM; ACHENI SIASA UCHWARA!!!
hebu rudia tena kuandika...
 
nchi hii ukiwa jambazi serikali inakuabudu. Ukiwa mwenye haki na mtetezi wa haki za wanyonge serikali inakuona mtu mwenye dhambi nyingi sana.

acha hizo, nani kakuambia huyo ni mtetezi wa haki za wanyonge; mie namufahamu sana, yeye ni kada wa cdm tunakaa naye kinondoni, tena ni cdm maslahi
 
who is msemakweli in Tanzania?
Utamjua vizuri mda si mfupi wenzako Chadema wanalalamika kuwa Msemakweli amepola hoja yao ya Kagoda! Sasa nashindwa elewa umliki wa Hoja ya Kagoda CDM wameupata lini na wapi na nani kawapa na kwa nini akisema mtu mwingine kama Msemakweli basi Magwanda wana mchukia!

Kama hoja ni kutetea raslimali za Taifa hili kwani CDM wanataka watu wengine wasiwe watetezi pia? Wakitetea wanachukiwa vibaya sana? CDM wanatamani Msemakweli wamfukuze uana chama hata kesho! Eti kazi ya Kulipua mabomu amepewa Dr Slaa,Lema,Lissu na Mbowe akisema mwanachama mwingine ana ambiwa kapora hoja!!!!
 
Google "malcolm x: The house negro Vs the field negro"
couldnt paste it here,anyway ma house negro wa JF na Tanzania tunawajua. Hawa ambao wana identify with the master more than the master identfies with himself. Pia watanzania wazalendo a.k.a field negros tunawajua ,mapambano yanaendelea!
 
naona bado polis wana ujinga wa enzi zile za kijamaa haelewi hata kazi zao,tatizo iliajiri wengi darasa la saba na baadae ikachukua form 4 waliofeli sana reasoning yao bado iko chini,inabidi sasa isiwe tena kimbilio la waliofeli ndo maana hawajui hata wajibu wao.
 
Wewe Invisible,

Mtu anaposema "ameyataka mwenyewe, kukurupuka" na wewe una support kwa ki-comment kisicho na miguu wala kichwa huo ni uduwanzi! Erick Msemakweli ana balls na yuko sawa kudai mali na haki za Watanzania.

Unatakiwa utulize akili ili ujue comment za realy Great thinkers, ulitaka Invisible aseme nini zaidi ya kusikitika? Invisible amesema si mchezo halafu akaweka alama hizi................, je unajuwa maana yake?
 
Back
Top Bottom